Wataalam wetu wamefikia hatua gani kuhusu kinga ama tiba ya Corona?

Wataalam wetu wamefikia hatua gani kuhusu kinga ama tiba ya Corona?

Wakati wataalamu na watabe katika kada ya afya kutoka mataifa mbalimbali duniani wakipambana kutafuta dawa ama kinga dhidi ya kirusi Corona, nataka kufahamu kuhusu hawa madaktari bingwa tena watabe kwelikweli kutoka Tanzania wao wamefikia hatua gani ya kiutafiti?

Je, tutegemee lolote kutoka kwao? Ama na wao wanasubiri Ulaya na Marekani zipate tiba ama chanjo kisha waje vifua mbele kuelezea matumizi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wakemia wetu ndio watu kama magu. Basi wote ni taka taka..
Yani mkemia na akili zake anataka kipimo cha covid kipime papai thena anataka kitoe proper result.

Ni kama uweke mbuzi kwenye usukani iendeshe gari.
Kiufupi tZ haina Rais.

Its big shame!
Funny enough watu na wafuasi wengi wanashangilia hadi marof wanshangilia japo kiuhalisia wanajua kuwa its rubbish
 
Back
Top Bottom