RAYAN THE DON nani wa kuleta hela za research? Ni serikali kama hatutaki hela za nje kama ulivyosema. Ukiamsha keyboard kuandika research proposal for funding from abroad, you will dance their tune!
exactlyVijana wanaweza kuwepo,shida ni wanaowasimamia au chuo husika kutokuwekeza vya kutosha kwenye utafiti wa vitendo
Bongo hua ni kukariri madesa tu , ili uchomoke na GPA inayoeleweka basi nahisi hicho ndicho kipaumbele cha Nchi , maana elimu yetu hua imejikita hukoTumesikia Vijana wa vyuo vikuu mbalimbali africa mashariki vikipambana kuongeza uwezo wa vifaa tiba katika sekta ya afya nchini mwao katika kipindi hiki cha janga la ugonjwa wa corona covid19
Moja ya vitu muhimu katika tiba dhidi ya janga la corona ni mashine za kusaidia kupumua kwa mgonjwa aliyemahututi kwa jina maarufu ni ventilator ambazo kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaoambukizwa ugonjwa huu imepelekea kuwa na uhaba wa vifaa tiba hususani mashine za kupumulia ventilator katika sekta ya afya nchini nyingi duniani ikiwemo nchi zetu za afrika mashariki
Ila kwa wenzetu majirani hapa afrika mashariki Vijana wa vyuo vikuu vya nchi kama kigali nchini RWANDA,kenyata University nchini Kenya wamekuja na suluhisho la kubuni na kutengeneza kifaa tiba hiki adimu duniani kwa sasa na ubunifu wao huo umeleta ahueni katika sekta ya afya za nchi zao na kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa corona.
Je vijana wa vyuo vikuu maarufu na vikongwe hapa nchini mpo wapi muonyeshe uwezo wenu katika hili janga na kuiokoa nchi katika janga Hili?
Asanteni
View attachment 1427062
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo tayari kudhamini utafiti huo watu tuingie maabara.Ventilator sio rocket sayansi ni pump tu ambayo inakontrol system.Tumesikia Vijana wa vyuo vikuu mbalimbali africa mashariki vikipambana kuongeza uwezo wa vifaa tiba katika sekta ya afya nchini mwao katika kipindi hiki cha janga la ugonjwa wa corona covid19
Moja ya vitu muhimu katika tiba dhidi ya janga la corona ni mashine za kusaidia kupumua kwa mgonjwa aliyemahututi kwa jina maarufu ni ventilator ambazo kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaoambukizwa ugonjwa huu imepelekea kuwa na uhaba wa vifaa tiba hususani mashine za kupumulia ventilator katika sekta ya afya nchini nyingi duniani ikiwemo nchi zetu za afrika mashariki
Ila kwa wenzetu majirani hapa afrika mashariki Vijana wa vyuo vikuu vya nchi kama kigali nchini RWANDA,kenyata University nchini Kenya wamekuja na suluhisho la kubuni na kutengeneza kifaa tiba hiki adimu duniani kwa sasa na ubunifu wao huo umeleta ahueni katika sekta ya afya za nchi zao na kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa corona.
Je vijana wa vyuo vikuu maarufu na vikongwe hapa nchini mpo wapi muonyeshe uwezo wenu katika hili janga na kuiokoa nchi katika janga Hili?
Asanteni
View attachment 1427062
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeniona! Nimejikaranti shamba napalilia miti yangu ya matunda. kama jamii haiwezi kutusapoti sayantist kwa nini tusumbuke.Idea ya pumb ya hewa ni ndogo sana hata Siku tatu tu unaunda prototype ila nani atoe hela yake ya kununulia vifaa.Hata wewe huwezi kuchangia unapiga tu kelele.Board ya mikopo ilikuwa inatoa sh.150000 za project unaweza pata picha.Hahahaha wapo kjjn wanajikinga na korona.
Kama maproff wenyewe wapo bize kusubir uteuzi wao ni nan wagundue tiba ya kovid
Sent using Jamii Forums mobile app