Mwanamena
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 1,106
- 1,374
Hii ilikuwa bonge la fursa, worldwide. Ukigundua dawa Dunia nzima, unauza. Tanzania nzima tunautupa umaskiniHakuna wakati muafa na Mzuri kama huu kupindua Msimamo wa Hali ya Umasikini Afrika.
Hii ilikua ni moment Moja tu yakurejesha Heshima kwa wa Afrika na Watu wake.
Hii Ingetokea tu kama Tungekuwa na Wanasayansi Nguri na Wabobezi wakaisaidia Dunia Kugundua na Kuzalisha Dawa ya hii COVID-19. Leo hii tungekua Tunaombwa Msaada na Marekani na Big Powers wote. Hapa na Sisi ndio Tungewawekea Masharti Magumu kama wao wanavyotumiaga Shida Zetu Kujinufaisha.
Labda Ingekua enzi za kinaa Mwanamalundi wangefanya kitu hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app