Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Wenzako wanazungumzia wataalamu(Specialists)....wewe unaleta story za watu wanaotegemea boom(Unqualified juniors medical personnel)Write your reply...wapo ndani wamejifungia hata hela ya kununua bundle hawana na vile vyuo vimefungwa hakuna boom tena
OhooooAngeweza kama akiachana na mambo yake ya ushirikina na kutoa watoto kafara
Kwamini atume ndege na dawa hiyo inapatikana nchini?Habari wadau..
Madagascar wametufundisha somo kubwa sana wa Tanzania...kwamba sio lazima tusubiri mzungu atufanyie kila kitu...
Rais wetu mpendwa.. anahangaika kutuma ndege madagascar ikabebe dawa. Huku tuna wana sayansi kibao nchini wanalipwa mishahara na hawajafanya chochote hata kujaribu
Habari wadau..

Wanasayansi wetu akiwemo rais. PhD yake inasaidia nini juu ya korona?Habari wadau..
Madagascar wametufundisha somo kubwa sana wa Tanzania...kwamba sio lazima tusubiri mzungu atufanyie kila kitu...
Rais wetu mpendwa.. anahangaika kutuma ndege madagascar ikabebe dawa. Huku tuna wana sayansi kibao nchini wanalipwa mishahara na hawajafanya chochote hata kujaribu
Nenda taratibu mkuu,kusoma sana sio kujua kila kitu.Wanasayansi wetu akiwemo rais. PhD yake inasaidia nini juu ya korona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo umeamini kuwa ile ni dawa ya VOID 19?Habari wadau..
Madagascar wametufundisha somo kubwa sana wa Tanzania...kwamba sio lazima tusubiri mzungu atufanyie kila kitu...
Rais wetu mpendwa.. anahangaika kutuma ndege madagascar ikabebe dawa. Huku tuna wana sayansi kibao nchini wanalipwa mishahara na hawajafanya chochote hata kujaribu
Hapana! Subiri utakayoletewa na wazunguKwahiyo umeamini kuwa ile ni dawa ya VOID 19?