Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,943
- 2,597
Kukitokea matatizo ndio umuhimu wa watu wa afya unaonekana
Moja katika sekta ambayo watumishi hawajaliwi manesi madokta wafamasi maabara wanaishi maisha ya kuunga unga sana unadhani huo muda kufanya utafiti wa kutafuta hizo dawa watapata wapi?
Maisha yao yenyewe yanawashinda mishahara mibovu hao manesi maabara yaan ndio wana hali mbaya sana.
Hapa kila mtu apambane na hali yake sio kwenye matatizo ndio mnona umuhimu wa watu wa afya unaonekana waboreshe maisha yao kupitia mishahara mizuri ndio mengine yatafata.