Mkuu hata mimi sifurahishwi na matumizi ya pesa kwenye siasa za hovyo hovyo. Mimi siyo mwanasiasa hata kura nilishaacha kupiga baada ya kukatishwa tamaa na viongozi uchwara tulionao Tanzania. Nikaona hakuna haja ya kupoteza muda wangu eti kupiga kura.Pesa zinaishia kufanya siasa za kindezi na matumizi yasiyo na kichwa wala miguu, mnataka nani ahangaishe kichwa bure bure, mnataka kuona ng'ombe akinenepa wakati hamjawahi kumkatia majani, tuendelee tu kuulizana habari za udaku za kina diamond tusubiri wazungu watakachotuletea basi tutatumia...
Huu ndiyo ukweli wenyewe. Utafiti Ni Hela, watalaam tunao, wanawezeshwa.?kluger,
Muulize Jiwe lini ametoa hela za utafiti, acha hela ndogo za up keep ya taasisi! Utafiti ni hela, waulize wamarekani wanatumia bajeti gani kwa utafiti
Watainuka kusema wakati tumeona wote kwamba wa kusema Ni watatu au wanne tu.Ndio wanajiitaga madokta
Wametulia kimyaa
Virus amekuja kuwafanya hamna. Muhi2 na wenzake wapo kimya
Wale ma-TO wanaosifiana kila uchao siwaoni. Dozi imewaingia
Sasa wamebaki kuvaa maski tu. Mishahara wanalipwa vizuri kuliko walimu
Uko sawa lakini tuna mgawnyo wa kazi. Let scientists do their research on corona virus/covi19, public health experts do their tasks as you have put them!Nini cha kufanya ili kuzuia maambukizi kinajulikana barabara, tatizo ni implementation. Hatutaki watu waanze kuandika kitaaluma ilhali tunashindwa kuzuia mikusanyiko ya watu masokoni, makanisani nk ambayo tunajua wazi ndio chanzo cha maambukizo. Tuachane na academic pomps sasa ni wakati wa kuchukua hatua nzito. Ona sasa wagonjwa wamefika 46. Hii inamaanisha wapo mamia wengine mtaani it’s a matter of time. Tulipaswa tuwe tumefanya total lockdown kitambo.