mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
unataka kutuambia kigwangala kuna kitu anaweza gundua kwenye sekta ya tibaakina KIGWANGALA na wenzake, JIWE kawateua wataalamu kwenye siasa, unategemea nani afanye tafiti?
Dr Mwele Malechela aligundua ule ugonjwa unaoua sana Congo DRC, akatangaza, akafukuzwa kazi
Angeweza kama akiachana na mambo yake ya ushirikina na kutoa watoto kafaraunataka kutuambia kigwangala kuna kitu anaweza gundua kwenye sekta ya tiba
unacheka nini? Ngoja nikufuatilie nione unafanya wapi na ume deliver niniπππ
Dr Mwale Malecela alitangaza uwepo wa homa ya ZICA, basi alishukiwa kama mwewe na Waziri wa Afya na muda mchache baadae mamlaka yake ya uteuzi ikatwaa dhamana waliomkabidhi.Unatakka yawakute ya Mwele malecela?
π π πunacheka nini? Ngoja nikufuatilie nione unafanya wapi na ume deliver nini
verified userπ π π
Unajichosha bure tu.
Walikuwa na lengo la kusambaza corona.