Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Kitu bado ni Fiction mkuu 😅😅😅
🤝Hii Kitu bado ni Fiction mkuu 😅😅😅
Haiwezekani kwa Maisha ya Kawaida Usidanganyike na Muvi...
Nitakupa Facts za Kisayansi kwanini haiwezekani..
Unajua ili kufanya Hiyo wanayoita kwenye Fiction Movie "Cryopreservation" au Hibernation lazima Kulower The tempearture la Mazingira Kwa Kiwango cha Chini sana ambacho hakiwezi kusababisha Cells Ziendelee Kufanya kazi..
So Interms Lazima Kisababishe Cellular Demage na Massive Multiple Organ demage..
Japo kwenye Hizo movie (Nazifatilia Sana) wanasema Kuwa Wanakuwa na chemical wanaziita "..Cryoprotectants.." ambzo ndo zitasaidia Kupreserve the Hibanation without cellular demage so itazuoa Cryopreseeve isitengeneze Ice Crystal that will Demage the cells but jiulize At what concentration inafaa Kuzuia mwili wa Binadamu uziongeze Heat?
Mwisho wa Siku unaweza ukaweka Concentration ambayo nao Inakuwa Toxic kwa cellz so Its imposible
So Kingine ili ifanye kazi lazima Ureduce Energy efficiency (Matumizi ya Energy so ndo hiyo lazima Ulale) na hii kitu ni hatari kwa sababu ukipunguza Energy lazma utapunguza The nutrients Distribution as well as Oxygen..
Kingine hakuna Uwezo wa Kulower Hata Kidogo Metabolism ya Binadamu mpaka kwenye Zero level bila ya Kumuua 😆😆..
Nikupe Taarifa Ndogo tu kukitokea Hitilfau ndogo tu kwenye Vital organ yoyote kwenye mwili kwa mfano Moyo ukianza kuleta Hitilafu aidha kwa Kukosa energy unaweza kusababisha Athari kwenye Viungo vingime kama Figo ini na vingine..
So kupunguza metabolism.kunaweza kusababisha Multi organ failure..
So kwa Uwezo wa Ubongo Tulizonazo sasa Hivi (Maana sijui kwa baadae) Mtu hawezi kukaa bila oxygen kwa muda wa zaidi ya Dakika hata 5 Bila kusababisha Athari kwenye Ubongo..
So kukaa kwa Muda bila oxygen kwenye Ubongo kutasababisha Brain dealth..
Na nikupe faida Tu Kwamba Nachojua Mpaka sasa kilichofanikiwa ni Cryonics ambayo na yenyewe huyukmika kwa Maiti kuwatunza ili wasiharibika kwa ajili ya Kuwastudy kwa muda mrefu..
Ok sawaHapana hii kitu kingine kabisa
Unaanzisha kupata habari toka kwa watu badala ya kuelezea kiundani. Basi ungeweka swali.Cryogenic pod (short : cryopod) ni single device iliyotengenezwa kitaalamu to freeze a person in cryogenic suspension.
A cryopod imeundwa na vifaa vyote kwaajili ya kumgandisha mtu kwenye cryogenic sleep na kumuamsha tena.
karibu kwa mjadala;
Cryosleep (cryogenic sleep) ni dhana ya usingizi wa muda mrefu unaotumia teknolojia ya halijoto ya chini sana ili kuhifadhi mwili wa binadamu kwa kipindi fulani.Cryogenic pod (short : cryopod) ni single device iliyotengenezwa kitaalamu to freeze a person in cryogenic suspension.
A cryopod imeundwa na vifaa vyote kwaajili ya kumgandisha mtu kwenye cryogenic sleep na kumuamsha tena.
karibu kwa mjadala;