Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Dah!...tafuta tiba mkuu, kwanini ukubali kuishi kwa kuteseka miaka yote hiyo wakati tiba zipo na wataalamu wapo ?....au ulitibwa ila hukupona ?

Wataalamu DR Mambo Jambo marisi schwein Lukonge toeni ushauri hapa kwa huyu mdau.
Tatizo ni kila kitu kubatizwa UTI.

Suala la msingi ni mhusika kufika kituo cha afya ambacho kina uwezo wa kufanya vipimo. Kuchukuliwa historia vyema na vipimo kulingana na hali yake.

Vipimo vitategemea na kiasi cha tatizo husika.

Atapata tiba shirikishi kwake na mwenza, ufatiliaji wa pamoja na kulimaliza tatizo.

Pia elimu ya kujikinga na magonjwa ya mahusiano.

Moja ya kitu mhimu ni kupata mtoa hufuma dedicated, asiye na haraka wala tamaa pia yeye kuwa mfatiliaji mzuri wa kila hatua na kuelewa kinachoendelea.

Ni jukumu la mtoa huduma na mgonjwa kushirikiana na kuwa kitu kimoja kwenye njia ya kuelekea tiba yoyote pia kutoa na kupokea maoni chanya.
 
Hakuna namna nyingine naweza kusema. Nayaacha yote mikononi mwako. Sina uhakika kama una comparative studies za aliye na gono aliyechoma vs aliyekunywa vidonge. Au ni mazoea.
Ni mazoea. I am old enough to have a lot of experience in this matter. Hata tulikutana nayo enzi hizo wakati tunasoma. Enzi hizo mwanamme bila kuugua gono unadharaulika na wanaume wenzako. Na hii theory nilikutana nayo kwa madaktari wengi tu. Unahangaika wee, uume unakuwa unatoa utando kwa mbali sana. Ukinywa vidonge inatoa kapa. Ukichoma sindano unatoka uchafu mwingi na inakausha kila kitu.
 
Ni mazoea. I am old enough to have a lot of experience in this matter. Hata tulikutana nayo enzi hizo wakati tunasoma. Enzi hizo mwanamme bila kuugua gono unadharaulika na wanaume wenzako.

Fanya some comparative observational studies ili uzoefu wako uweze kutusaidia pia huko mbeleni.

Muda mwingine vitu tunaviona na kuviachia njiani kumbe vingeweza kutusaidia ila tuna-conclude prematurely.
 
Thanks naufanyia kazi Ushauri, ntaleta feedback
 
Fanya some comparative observational studies ili uzoefu wako uweze kutusaidia pia huko mbeleni.

Muda mwingine vitu tunaviona na kuviachia njiani kumbe vingeweza kutusaidia ila tuna-conclude prematurely.
Sina huo muda ila na-share experience yangu. Mtu yoyote anayetaka kuhakikisha anaweza kufanya... ikiwemo wewe.
 
Pole Sana aseeee
 
Tatizo la hospitali za siku hizi pesa mbele unaweza ukaenda huku ukaambiwa hivi ukaenda kule ukaambiwa vile yaani vurugu ili mradi pesa iingie tu.

Kwa mlolongo wa hizo dawa ulizotumia nilitegemea kipimo Cha C & S kiwe kimeshafanyika.
 
Sina huo muda ila na-share experience yangu. Mtu yoyote anayetaka kuhakikisha anaweza kufanya... ikiwemo wewe.
Science haiko hivyo ndugu, kila mtu angesema sina muda huo. Hata maarifa tuliyoyabeba ni transitional. Na haya ndo matatizo yetu waafrika, tunakuwa tuna kazi nyingi mikononi mwetu ila hatuoni umuhimu wa kuzifanyia kazi. Akija mzungu anaexpand kidogo tunaona ni breakthrough.
Una data sitting on then, unless ilikuwa ni sukuma twende.
 
Pole sana ndugu yangu.
Hebu fanya blood culture inawezekana kuna vitu kwenye damu vinasababisha tiba ikatae.


 
Usikalili watopolo wengi waliomo umu ukajua wote ndio ivo
 

Attachments

  • Screenshot_2023-12-15-22-40-31-733_com.miui.gallery.jpg
    44.2 KB · Views: 17
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…