Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Acha kutuhumu watu hovyo kwa hisia zako binafsi.
 
Hakuna msaada wa uzinifu nabuasherati, vitabu vyote vya d8ni vishakwambia ni uchafu huo.

Kuna msaada gani zaidi ya huo?

Prevention is better than cure.
Sio kweli....

Mtenda dhambi akitubu kwa Mungu wake atasamehewa.
 
Acha kutuhumu watu hovyo kwa hisia zako binafsi.
Kawaida ukienda hospitali na majeraha ya ajabu ajabu lazima uje na PF3. Huyu aliyokiri kufanya ni high crimes. Akamlete victim wake.
 
Acha kutuhumu watu hovyo kwa hisia zako binafsi.
Kawaida ukienda hospitali na majeraha ya ajabu ajabu lazima uje na PF3. Huyu aliyokiri kuyafanya ni high crimes and misdemenors, kunajisi na kusambaza maambukizi. Akamlete victim wake.
 
Kwa huu ujuzi wa dawa wa mleta uzi ni wazi kaamua kuja kuwatisha vijana wa hovyo kitaalamu sana.

Hakuna mgonjwa na STD anajieleza hivyo.

Hii ni simulizi ya kimkakati sana.

BEWARE!
 
Kawaida ukienda hospitali na majeraha ya ajabu ajabu lazima uje na PF3. Huyu aliyokiri kuyafanya ni high crimes and misdemenors, kunajisi na kusambaza maambukizi. Akamlete victim wake.
Jamaa kapata ugonjwa wa zinaa acha atibiwe hakuna sehemu kaandika alipata majeraha au ngeu hivyo haja ya PF3 hapo haipo.

Hayo ya uhalifu na kusambaza maambukizi nenda polisi kafungue jalada.
 
Life choice yako siyo nzuri, unafaidika nini sasa zaidi ya kurisk maisha yako?. Kakupa gonjwa na bado ukarudia, infection ya mwanzo haijaisha ukaongeza dozi ya maradhi. Tena na mwanamke ambaye likely siyo mpenzi wako. Mmh. Sina majibu ya maswali yako. Ila if you can let her get treated na ujue analala na wengine pia au la, kama ndiyo hata matibabu anayoweza kupata hayatamsaidia kitu na obviously hayatakusaidia kitu nawe pia. Hiyo inaitwa vicious circle of infection.
 



Jana majibu yametoka Agakhan ya culture and sensitivity.
"NO BACTERIA OR FUNGAL GROWTH"

Dr kanambia Kua inaamanisha Kua dawa nilizopewa zinafanya kazi. Hivyo basi nimalize dozi.

Pili kakanusha madai ya Kua kuna "Gono Sugu" isipokua nilienda hospital za Kwanza wakashindwa kunipa right antibiotics kutokana na errors za diagnosis, pili dalili zangu zilkua zinahitaji Dr makini kuweza kuniskiliza vizur sababu dalili zangu zilkua ngumu kidgo kusema moja Kwa moja ni gono, hivyo ikafanya diplococci wazubae Tu hivyo nikawa siponi.
Kasema diplococci wana- respond vizur Sana kwenyw antibiotics.

Hospitali zetu hizi za wilaya, zinachangamoto kwenye vipimo, nimepima 3 times, urinalysis, pelvic and abdominal ultrasound with x-ray naambiwa ni UTI -cytitis napewa antibiotics Tu Ila zikiisha Tu ugonjwa bado upo...
Pili ukienda kama pale kigambon wilayani pale vipimo vyao magumash Sana... unatoka kwa Dr WA OPD, anakuandikia labda pima urinalysis na ultrasound,.. ukiingia ndan Dr vipimo ultrasound anakwambia piga na xray, au mi ninazo dawa za ugonjwa wako njoo kesho nikupe... So ni shida sanaaa...

Lakin Baada ya kwenda Agakhan kigamboni pale, Dr alivo chukua urinalysis Tu akanambia Kua Nina STD na si UTI, hawakunipigisha ultrasound wala x-ray nikapewa antibiotics za Ceftriaxone injection na Doxycycline for 10 days,
Baada ya kumaliza doz nilhisi kupona ila bado nikawa napata maumivu makali Sana kwenywe base ya uume na urethra...
... ikanibidi niende moja Kwa moja Agakhan Ocean road ili wanicheck vizur na niwe na uhakika..

Nikafanya Vipimo japo ni expensive Sana pale.
Diagnosis ikaja Kua ni prostatitis..
Nikapewa antibiotics Kali Sana na kutoka Kua nipo kwenywe antibiotics 3 consecutive months mwili nao umechoka, stress, kuwaza Kua why huponi, vimechukua toll kubwa Kwenye afya yangu....
....naendelea na antibiotics zote nilizopewa agakhan pamoja na pale kisiwani kigambn na nashukuru saiv nimeanza kupata nafuu...
 
Huyu mwanamke yeye alishatibiwa na kapona kabisa, nashukuru na mim pia nimeanza kupata nafuu.
 
Kwa huu ujuzi wa dawa wa mleta uzi ni wazi kaamua kuja kuwatisha vijana wa hovyo kitaalamu sana.

Hakuna mgonjwa na STD anajieleza hivyo.

Hii ni simulizi ya kimkakati sana.

BEWARE!


Nina elimu ya university, STD inawezakumpata MTU yeyote..
Pia usitishike, hapa tunapeana maarifa Tu, na si lazima upokee kila kilichomo humu...
....ni tatizo limenipata na nipo napambna nalo.
Na nipo naendelea vizuri sasa
 
Ukisoma huu uzi, utagudua medical profession lacks objectivity. Everyone recommending differently from another.
The result being patients developing clonic/severe complications because of this try and error
Hili ni tatizo Kwa hospital zetu...
Ukiuma mkojo unapokojoa ni UTI
Hata nijieleze vipi naambiwa ni UTI au fungus Sugu..
Dr mmoja nikamwambia kuna siku niliona Kama maziwa mepesi iv mwishon MWA mkojo nimeiona once or twice Akasema bado sijasema hii ni UTI Kali.
Agakhan nashukur waltumia njia ya elimination, kwamba urethra discharge hakuna, damu kweny mkojo hakuna, urinalysis iko Sawa, lakini ninamaumivu kwenywe pumbu na nikamwambia my sex history Akasema mdogo angu pole Una gono. (Simple Tu, Ivo.)
 
Icho kipimo Cha siku 5 gharama huwa Ni kiasi gani
 
Ubongo siku ukiamua kukusaliti haijalishi ,ww Ni maskini au tajiri msomi au sio msomi ...siku inakuwa moja tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…