Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics


Ukiwa under influence of alcohol lolote linawezekana.
Pole Inasikitisha
 
Majibu aliyouliza yote!
majibu yake ni Ndiyo..

Tena imemsitiri sana maana Gono wameilea Tangu mwaka Jana November (Kwa maelezo yake) Amekuwa akiipoza tu na Dawa.

Sihukumu ila natoa ushauri!
kama yule msichana Anapenda kufanya naye mapenzi kinyume na maumbile au kwa njia ya kawaida ningependa zaidi kama Angefanya ngono iliyo salama..

Kingine yule msichana na yeye atibiwe kutibu upande mmoja ni kazi bure Wote mtibiwe ili kuzuia maambukizi mapya..

Dawa aliyopewa kisiwani (Hapo mwishoni) Zinaweza kuwa dawa sahihi kwake Yeye na kwa mpenzi wake!

Japo kwa Case yako Lazma ningeongeza na Benzathine Peniciline (Penadur) kwa sababu hiyo kitu imekomaa sana kwahyo ungechoma benzathine kwa wiki 3- 5 angalau..

NB: Kingine kwa Madaktari wote Augumentin (Amoxicilin Plus Potasium Clavulanic "Amoxiclav)
Mara nyingi sio Dawa Sahihi sana kwa Magonjwa ya zinaa..(Japo ni dawa nzuri kwa magonjwa ya mfumo wa hewa)

Kutokana na Amoxiciline kuwa Na nguvu kubwa kwenye Gram Positive bacteria Na kuwa na nguvu ndogo kwenye Gram negative bacteria...
Wakati huo Neisseria Gono....ni gram neg.ssp


Kwahyo tunaweza kusababisha usugu wa Dawa kwa wagonjwa na Kusababisha kutengeneza untreated Traits..
Tuzingatie miongozo...na Researches....

CC: dopamine-B
 
Then alivyokuambia hivyo ulichukulia Poa!
Wanaume tuache kuishi kwa mazoea..
Nahisi watu wanahitaji sana Elimu ya Uzazi na magonjwa ya zinaa, Zaidi mno kuliko elimu ya uchumi na ujasiriamli vinginevyo tutapoteza wengi
 
Achome Penadur ya kazi gani ndg? Umeongea mengi mazuri ila ukachanganya madesa hapo kwenye Penadur. Unless kama unahisi ana Kaswende( Syphilis) ambayo haiwezi kuwa covered na hizo antibiotics alizopewa.


Pia kusema ugonjwa wa bacteria umekomaa ni makosa unatakiwa utumie neno usugu ( resistance) ambapo suluhisho rahisi ilikuwa kwa mgonjwa kufanya culture and sensitivity na asingehangaika huko kote alipokwenda

Mwisho kabisa nimeona STI nyingi ambazo haziponi kwa dawa za kawaida mpaka kutumia Carbapenems kwahiyo ni vzr mleta mada asipopona akaotesha huo mkojo wake na kupata suluhisho sahihi la dawa zitakazomponesha
 
Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..
Hivi vipimo vilikuwa na umuhimu gani ilhali culture and sensitivity ingemaliza kazi, na kuleta majibu ya dawa gani sahihi ya kuua hao bakteria uliopata kwa njia ya kujamiiana ( STI)?
 
Huyo demu utakuwa unakula na masela
 
Kamfanyie na yeye culture and sensitivity ya mkojo pamoja na High Vaginal Swab( HVS)
 
@dronedrake njoo wanakuita baba nyeto mshauri mkuu watu wajatae ndoa hawakusikia...
 
Huyu mwanamke ninamuamini sana……… unamuaminije mtu ambaye wewe mwenyewe unafanya nae kinyume na maumbile?

I mean ni jambo la kawaida hadi mmefikia kusema mnaaminiana.?

Pole, Madaktari wakusaidie upone na ujifunze.
 
Hivi vipimo vilikuwa na umuhimu gani ilhali culture and sensitivity ingemaliza kazi na kuleta majibu ya dawa gani sahihi ya kuua Hao bakteria uliopata kwa njia ya kujamiiana ( STI)?
Nafikiri kutokana na matibabu mengi aliyofanya Kufikiria Kipimo cha Uroflowmetry ilikuwa sahihi sana na hata USS..

Kwanini!
Ilikuweza ku rule out (R/o) magonjwa yote ya Prostate maana Inaweza pia kusababisha usaha na hata shahawa kuwa Laini yaani maji maji na ni kitu ambacho yeye mtoa mada amesema alikuwa nacho..

Na kumbuka prostate gland ndo inayohusika kwenye utengenezaji wa enzymes zinazohusika kwenye utengenezwaji wa semen ..

na kuhusu USS..

Siku hizi kuna wimbi la vijana na watu wazima wa makamo kupata magonjwa ya Hydronephrosis na kidney stone ambaye yana dalili tofauti tofauti...
wengi wanakuja kama maumivu ya tumbo Chini ya kitovu au upande wa kulia na kushoto..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…