Mama hajui namba ya siri ya ac ya baba ya bank.. Ngoz nyeusi tuna roho mbaya vibaya mnoBiashara tuige Wahindi na Waarabu,Baba,Mama na watoto wote mnakuwa ni biashara yenu na mnwajibika,sisi ngozi nyeusi ukipata pesa unaongeza wanawake na kila kitu unataka ukishikilie wewe maana huoni yupi anastahili,siku ukiondoka kila kitu kinakwenda...
Kuna interview zipo jamaa anaelezea downfall yake. Anasema washauri walikua wabaya lakini pia ujana ulimzidi sana. Serikali nayo ilichangia kumwangamiza pale ilipofungia akaunti zake za benkiHivi makosa alikumbwa na nini? Mpaka kufilisika?
Inatisha sanaMama hajui namba ya siri ya ac ya baba ya bank.. Ngoz nyeusi tuna roho mbaya vibaya mno
Alivyomaliza kulia ndiyo akapata wazo la kampuni ili asinyanyaswe na posho za kusaini huku kiasi cha Tsh kimezibwa asione.We umefungua kampuni wapi wakati nilikuona Mbeya pazuri ukililia kutolipwa posho ya 88?😀😀😀
Ufujaji mali,kumuamini kila ajae machoni pake,kukosa weledi wa kuendesha biashara pesa izunguke kwa faida nk.Hivi makosa alikumbwa na nini? Mpaka kufilisika?
Alipofariki mwenye maono na mmiliki Andeson Mwanyato, ndugu zake waliobaki walishindwa kuendeleza uwekezaji wake mzuri. Hata mabasi yake yote yakaisha. Ila bado ni eneo mwafaka sana kwa biashara kama unaweza kununua na kuliendeleza.Wataalamu wa Biashara nauliza Comfort Hotel, kitonga Iringa ilikufaje wakati ilikuwa na wateja abiria wa mabasi?
Kuna jamaa anajisifu kwa wenzake kwamba haitatokea akampa mke wake namba zake za Siri.Mama hajui namba ya siri ya ac ya baba ya bank.. Ngoz nyeusi tuna roho mbaya vibaya mno
Sahihi lile eneo bado ni zuri mno kwa biasharaAlipofariki mwenye maono na mmiliki Andeson Mwanyato, ndugu zake waliobaki walishindwa kuendeleza uwekezaji wake mzuri. Hata mabasi yake yote yakaisha. Ila bado ni eneo mwafaka sana kwa biashara kama unaweza kununua na kuliendeleza.
Nilikuwa najuana naye sana Anderson Mwanyato niliwahi kumpa ushauri wa kibiashara. Alikuwa msikivu na mtulivu ila alipenda kufanya aonavyo yeye na alikuwa na ujasiri wa kuthubutu.Mmiliki alikuwa akiitwa Anderson Nyato, Iringa tukimwita Mwanyato, alikuwa mfanyabiashara wa usafiri wa mabasi yakiitwa Comfort, alisaidiwa kuendesha biashara na mdogo wake Joshua (aliyekuwa mume wa Mkuu wa mkoa wa sasa wa Dodoma) wote ni marehemu kwa sasa, baada ya biashara ya mabasi kuchanganya, kumbuka yalikua ya mikopo, akapata wazo la kukopa milioni 700 kwa ajili ya kufungua Kitonga Comfort Hotel, hiyo ulikua mwaka 1993, na ilifunguliwa na mkuu wa mkoa Iringa wakati huo Marehemu Major General Herman Lupogo, nilihudhuria ufunguzi tukiwa vijana na weekend tujivinjari pale. Mkasa wa kwanza ilikuwa kusombwa swimming pool na mvua za Elinino 1993. Tatizo kubwa ilikua management na kujaza ndugu, hotel ikaanza kuyumba, niliwahi kumshauri laiti angejenga ndani ya Mikumi national Park asingekosa wateja mpaka wanyama waishe mbugani, was too late, benki wakaipiga mnada kupitia rafiki yake Seth Motto (Majembe Auction Mart), mabasi na nyumba yake binafsi pale Field Force ikakumbwa pia
Daraja la Chipite kijiji cha Nangoo, nimepita sana maeneo hayoJina lilibadilishwa baada ya mnunuzi mpya, labda kifupi nilikua nao karibu, kuna mambo sio ya kuweka mtandaoni, Elinino hiyo ya 1993 Mwinyi alikuwa bado Rais na ilikua mwezi March alikagua mafuriko yale Dar es Salaam kwa Helkopta na RC alikuwa Kanali Anatory, Tarimo, kule Mtwara kulisombwa daraja kubwa la Chipite linalounganisha mnazi mmoja na Masasi, nahisi ulikua bado kiumri
ShikamooJina lilibadilishwa baada ya mnunuzi mpya, labda kifupi nilikua nao karibu, kuna mambo sio ya kuweka mtandaoni, Elinino hiyo ya 1993 Mwinyi alikuwa bado Rais na ilikua mwezi March alikagua mafuriko yale Dar es Salaam kwa Helkopta na RC alikuwa Kanali Anatory, Tarimo, kule Mtwara kulisombwa daraja kubwa la Chipite linalounganisha mnazi mmoja na Masasi, nahisi ulikua bado kiumri
Unachekesha mkuu ingia google utapata jibu kama BlackBerry imekufaKila jambo na zama zake. Kwani Blackberry ilikufaje?
Daah hizo simu za Blackberry daah kitambo sanaKila jambo na zama zake. Kwani Blackberry ilikufaje?
Hazikosekani sababu za kufa, kwenye mtihani ukiulizwa kuanguka kwa ottoman empire ama wamongoli, ama chochote kile utajibu kila kitu na wakati wake?Kila jambo na zama zake. Kwani Blackberry ilikufaje?
Jina lilibadilishwa baada ya mnunuzi mpya, labda kifupi nilikua nao karibu, kuna mambo sio ya kuweka mtandaoni, Elinino hiyo ya 1993 Mwinyi alikuwa bado Rais na ilikua mwezi March alikagua mafuriko yale Dar es Salaam kwa Helkopta na RC alikuwa Kanali Anatory, Tarimo, kule Mtwara kulisombwa daraja kubwa la Chipite linalounganisha mnazi mmoja na Masasi, nahisi ulikua bado kiumri