kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,094
- 3,108
Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka kueleweshwa mfano kama ulivyo Iphone, ilianza iphoe1, ikaja iphone2, ikaja iphone3, ikaja iphone4 plain.... na kuendelea mpaka sasa tupo kwenye iphone 13 pro max tukisubilia iphone 14, ) nataka kujua mtililiko huo kwenye computer aina ya HP maana naona zipo nyingi mnooo jamani mpaka zinanichanganya.
HP ENVY
OMEGA
HP SPECRE
HP PROBOOK
HP PAVILION
HP REVERB
Na zinginezo, maana zipo nyingi mnoo..
Naombeni kujua mchanganuo wenu maana nataka kununua ila zinanichanganya sana
HP ENVY
OMEGA
HP SPECRE
HP PROBOOK
HP PAVILION
HP REVERB
Na zinginezo, maana zipo nyingi mnoo..
Naombeni kujua mchanganuo wenu maana nataka kununua ila zinanichanganya sana