Malaika hawana jinsiaKwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni kwanini kuna Malaika wa Kiume na Wakike? Kwanini wakawa wa Kiume na Wakike?
Malaika hawana jinsiaKwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni kwanini kuna Malaika wa Kiume na Wakike? Kwanini wakawa wa Kiume na Wakike?
Kufanya tendo la ndoa ndani ya ndoa siyo dhambi, ila nje ya ndoa.Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake.
Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua maswali mengi kwa watazamaji.
Kwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni kwanini kuna Malaika wa Kiume na Wakike? Kwanini wakawa wa Kiume na Wakike?
Kwanini wasingekuwa jinsia moja kama jinsia haina maana kubwa kama mnavyotudanganya kwamba wanaume tusikutane na wanawake wala wanawake wasikutane na wanaume?
Wana jinsia hata majina yao yapo ya kiume na kikeMalaika hawana jinsia
Jinsia ni kwa ajili ya viumbe wanaozaliana kwa staili zetu.
Halafuuuu, kushirikiana mwanaume na nwanamke sio dhambi. Wasiumizane na wasimuumize mtu (jumlisha hata huyo ambaye atazaliwa). Dhambi ipo wapi?
Umejuaje kama wana jinsia kwa maandiko ganiWana jinsia hata majina yao yapo ya kiume na kike
UnajidanganyaWana jinsia hata majina yao yapo ya kiume na kike
Tutajie na jina la malaika 'wa kike' mmoja broMalaika Gapriel ni wakiume, wewe unataka kunambia ni wakike hapo ndipo nitakapokataa, wakiume wana uume na wakike wana uke
Sa 100Tutajie na jina la malaika 'wa kike' mmoja bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sa 100
Atleast Kwa dini yangu ya Uisilamu Malaika hana Jinsia. Na ni viumbe wa kubwa mno, hawana comparison yoyote Na sisi.Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake.
Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua maswali mengi kwa watazamaji.
Kwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni kwanini kuna Malaika wa Kiume na Wakike? Kwanini wakawa wa Kiume na Wakike?
Kwanini wasingekuwa jinsia moja kama jinsia haina maana kubwa kama mnavyotudanganya kwamba wanaume tusikutane na wanawake wala wanawake wasikutane na wanaume?
Jinsia ilianza kwao ndipo ikaja kwetu hakuna jambo tunalofanya sisi ambalo wao hawakulifanya, wapo wanaume na wanawake kama sisiAtleast Kwa dini yangu ya Uisilamu Malaika hana Jinsia. Na ni viumbe wa kubwa mno, hawana comparison yoyote Na sisi.
Umeulizwa Ushahidi ulete Hujaleta.Jinsia ilianza kwao ndipo ikaja kwetu hakuna jambo tunalofanya sisi ambalo wao hawakulifanya, wapo wanaume na wanawake kama sisi
Lakini kwanini wawe wakiume na kike? Kuna maana kubwa hapa, labda useme wanafanana na jiwe ndilo halina umbile lakini kitendo cha wao kuwa na umbile la mwanaume na mwanamke kuna siri kubwaUmeulizwa Ushahidi ulete Hujaleta.
Kwenye Uisilamu Malaika size yake vs Dunia, hii Dunia yetu ni kama Vumbi tu, ni wa kubwa mno, chukua Dunia na Universe nzima ambayo Tunaita Infinity size yake haifikii Distance kutoka Sikio hadi Bega la Malaika anayebeba kiti Cha Mwenyez Mungu.
Hata Jibril/Gabriel hakuwa akishuka Duniani Kwa Umbo lake sababu Hatoshi,
So unaongelea creation nyengine ambayo ni kama Robot, wameumbwa kufuata maagizo ya Mwenyez Mungu tu, hawana Akili ya kujiamulia wanachotaka, wanafata tu Rules za Mungu. Malaika hazini wala hafanyi Mapenzi hajaumbiwa kazi hio.
Sisi Binadamu, Majini na Viumbe wengine tumepewa Free will, unaamua mwenyewe ufuate unachotaka ndio Maana tumeumbiwa kuzini ama kufanya Mapenzi kwenye ndoa.
Hawana Maumbile ya Kiume na kike mkuu. Nisha elewa wapi unapata Shida.Lakini kwanini wawe wakiume na kike? Kuna maana kubwa hapa, labda useme wanafanana na jiwe ndilo halina umbile lakini kitendo cha wao kuwa na umbile la mwanaume na mwanamke kuna siri kubwa