Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

Casio fala sana. Kaanza na mabano 2+1 kapata 3. Kisha kaja iyo 3 kaizidisha na 2 kapata 6 kisha kagawanya 6 kwa 6.

Uyo Tecno yupo sahihi. MAGAZIJUTO

Hilo swali sio jepesi kama.linavyoonekana.


Casio yupo sahihi. Hapo casio katumia njia yake kasolve kwa kutumia symbol ÷ yaani swali kaliweka hivi 6÷2(1+2) ndio kalisolve.

Tecno na yeye yupo sahihi. Katumia njia yake kasolve kwa kutumia symbol / yaani tecno swali kaliweka hivi kwanza 6/2(1+2) ndio akalisolve.

Jibu la hilo swali limetesa dunia nzima. Ma proffessor wa mathematics havard huko na oxford wanabishana jibu la hilo swali.

Kila jibu lipo sahihi kwa zama zake

calculator ya search engine ya google yenyewe inasema jibu la hilo swali ni 9

 
Mbona tecno ndio yupo sahihi mkuu.
 
Anza na namba zilizopo ndani ya mabano.
6÷2(1+2)
(1+2)=(3)
Kisha fungua mabano
= 6÷2(3)
3*3=9
huwezi kujumlisha namba zilizopo ndani ha mabano kama kuna namba kamili pemben ya mabano mfano 2(2+1) lazima hyo 2 uzidishe na hizo namba moja moja ndani ya mabano hapo ndio tunafungua mabano but ingekuwa mfano 2 + (2+1) hapo ndio unajumlisha namba zilizomo kwenye mabano
sijui umenielewa
 
Anza na namba zilizopo ndani ya mabano.
6÷2(1+2)
(1+2)=(3)
Kisha fungua mabano
= 6÷2(3)
3*3=9
Unakosea.

Inakuchanganya kwasababu haufuari order of operations inavyotakiwa.

PEMDAS

Parentheses, Exponets, Multiplication, Division, Addition and Subtraction ....fuata hiyo. Kuanzia kushoto kwenda kulia.

Nikueleweshe zaidi?

Hope umeelewa.
 
Mgonjwa mwingine huyuapa...
Bro nenda hospital una utapiahesabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…