Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

Unakosea.

Inakuchanganya kwasababu haufuari order of operations inavyotakiwa.

PEMDAS

Parentheses, Exponets, Multiplication, Division, Addition and Subtraction ....fuata hiyo. Kuanzia kushoto kwenda kulia.

Nikueleweshe zaidi?

Hope umeelewa.
Ukianzia kushoto kwenda kulia ndicho nilichokifanya. Na nimetumia PEMDAS.

Ila nieleweshe zaidi.
 
Leo ndo nmeamini kumbe kweli hesabu ni gonjwa la Taifa...Yani seriously Kuna watu wako upande wa Tecno?

Hilo swali sio dogo kama unavyoliona. Jaribu kuligoogle utaona mathematician wa dunia nzima wanavyobishana.

Na hilo swali lilianzia kwenye mashindano ya mathematics olimpians... ndipo watu wakaligundua ni lina mabishano. Hata mtoa mada kalitoa kwenye debate mtandaoni hilo swali
 
huwezi kujumlisha namba zilizopo ndani ha mabano kama kuna namba kamili pemben ya mabano mfano 2(2+1) lazima hyo 2 uzidishe na hizo namba moja moja ndani ya mabano hapo ndio tunafungua mabano but ingekuwa mfano 2 + (2+1) hapo ndio unajumlisha namba zilizomo kwenye mabano
sijui umenielewa
Theeeeeeere u areeeee....
Mpk nimemkumbuka mwalimu wangu na "there you are" ukiwa umepatia
 
Mgonjwa mwingine huyuapa...
Bro nenda hospital una utapiahesabu
Huo ugonjwa wake uko wapi..ww ndo hujui i think..alichosema ni sahihi...hyo namba iliyopo krb na 2 outside bracket inamaana kuna alama ya kuzidisha ili kuifungua lazima uizidishe na hyo mbili ya ndani kivyake na ile moja kivyake...u multiply both numbers by 2...then una add...
Jibu utapata hyo hyo 1
 
Hii hesabu ni changamoto
Kutana na namna ya kuisolve

View: https://youtu.be/URcUvFIUIhQ?si=CgcrBE3IJGXgN-MX

Huyu nae muongo ingawa mzungu😆, lazima umalizane na mabano kwanza 6÷2(2+1) = 6÷2(3) = 6÷6=1. Kwa vyovyote vile lazima umalizane na mabano kwanza nyingine zote mbwembwe. Ndo maana ya BODMAS/MAGAZIJUTO(MABANO,GAWANYA,ZIDISHA,JUMLISHA,TOA).Tecno haiwezi kujua hesabu kuzidi Casio.
 
Back
Top Bottom