fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Fungua kesi upate loss report ndipo hayo mambo mengine yafuate. Jukumu la kufungua kesi hawezi kulifanya mtu mwingine isipokuwa wewe muhusika. Vinginevyo samehe tu kama ulivyosemawakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa ninehangaika naona imekua mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana ntashukuru au hata kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata alieiiba hii simu ni ww tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei namba hapa
Nilimpata mwizi wangu akiwa amekamatwa Polisi kwa kosa lingine. Kufika pale, akaletwa na simu aliyokuwa nayo ambayo ni ya kwangu. Na yeye ananijua. Hadi napiga simu kwa wakubwa ndo nikapewa simu.Ndio tatizo la polisi wetu, unapotelewa kitu ukidhani watakusaidia kukutafutia bila gharama yoyote