Wataalamu wa lugha ya Kiswahili naomba mnisaidie katika hili πŸ‘‡.

namba ya simu (maana ni namba moja )
namba za simu (maana yake mpe zote za mitandao yote uliyo nayo)

zote zi sahihi kulingana na unataka namba 1 (ya) ama mitandao yote/nyingi/tofauti (za)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…