Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!

Ni mapepo watakavitu hao mabrevis.Yanahondomola mafuta kiroho mbaya.Have a trial ujute hadi uwe mkondefu!
 
Haya ni mambo ya nyakati,, tukiwaza hivyo itabidi tuulizane kuhusu akina Corolla E110, Chaser au Mark II GX 100..
Hoja ya ulaji wa mafuta ni uongo maana Crown iliyo kwenye chati sasa na Brevis ni yale yale..
 
Mkuu, kukusaidia kutoka point A kwenda point B haibadilishi kuwa asset.

Kwa lugha ya kawaida Liability inatumia kipato chako bila kuhusika moja kwa moja kutengeneza hicho kipato.

Asset- inakuingizia kipato moja kwa moja sasa au baadae.

Kwa maana hiyo gari au nyumba vyote vinaweza kua liability au asset inategemea na matumizi yake.
 
Hazipo mjini siku hizi unaweza kupishana na mbili tu kwa siku nzima lakini ukaposhana na latest model V8, 100 per day
Brevis Dar labda Mwanza ndo zipo
Hakuna latest V8,zile LC 300 Ni V6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…