Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!

Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!

View attachment 3234527

Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!

Toyota Brevis zilikuja kwa kasi kubwa sana lakini jambo la kunishangaza wamiliki wameziuza haraka sana na hakuna watu wenye mvuto nazo, mji unao ongoza kuziondoa ni Dar es Salaam hivi sasa zinaonekana kwa bahati sana

Ni nini tatizo lililoikumba Toyota Brevis walimwengu?
Ni mapepo watakavitu hao mabrevis.Yanahondomola mafuta kiroho mbaya.Have a trial ujute hadi uwe mkondefu!
 
Haya ni mambo ya nyakati,, tukiwaza hivyo itabidi tuulizane kuhusu akina Corolla E110, Chaser au Mark II GX 100..
Hoja ya ulaji wa mafuta ni uongo maana Crown iliyo kwenye chati sasa na Brevis ni yale yale..
 
Mimi nadhani tufike sehemu, hii elimu ya Mzungu aliyotuachia tuitafakari upya. Hivi gari unatumia mwenyewe. Inakusaidia kutoka point A kwenda B. Utaitaje liability? Ukiugua au kuuguza usiku, ni hiyo gari itakukimbiza kuokoa uhai. Utaitaje liability?

Ok. Nyumba ni asset. Lakini ukipata dharura, haina msaada. Kitu kinachokusaidia mwenyewe ni asset muhimu. Mwisho wa siku, gari ina wear out, inachoka unauza. Lakini hiyo ni kwa vitu na watu. Hata sisi unafika mda tunachoka, hatuhitajiki tena duniani. Ni kanuni ya maisha.

Mimi nadhani gari ni asset. Tena asset ya maana tuu. Faida zake ni both tangible na intangible.
Mkuu, kukusaidia kutoka point A kwenda point B haibadilishi kuwa asset.

Kwa lugha ya kawaida Liability inatumia kipato chako bila kuhusika moja kwa moja kutengeneza hicho kipato.

Asset- inakuingizia kipato moja kwa moja sasa au baadae.

Kwa maana hiyo gari au nyumba vyote vinaweza kua liability au asset inategemea na matumizi yake.
 
Back
Top Bottom