Umkonto umsizwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 454
- 949
Means 2km/1litsMafuta mkuu, ina consumption mbaya sana. Mfano ya 3L inaenda hadi 6km/
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Means 2km/1litsMafuta mkuu, ina consumption mbaya sana. Mfano ya 3L inaenda hadi 6km/
Pita pita kwenye magarage utakuta zimetelekezwa. Kuna garege moja kibaha nimezikuta 8Kama zimepotea nchini je wameziuza nje ya nchi ?
Sasa kwanini hazionekani, waliokuwa nazo waliuza nje ya nchi?
Ukiongeza mbili unapata ilionyooka sanaMark x kutoka mln 30
Leo hii unaipata mpk kwa mln 5
😄
Ova
Crown ime trend muda mfupi wakati watu wamesajili EK juzi juzi tu hapo. Na bado Crown series inaendelea EL...EM...EN mpaka namba F crown bado itanunuliwa.Cr
Verosa ilianguka thamani ghafla
crown nayo imetrend muda mfupi now sio kiivyoo tena!
Bora hii Suzuki manka 😁😁
Only IST ndio haikimbiwiIlikuwepo verosa ikak8mbiwa
Mark x yenyewe ishakimbiwa
Crown yenyewe ishaanza kukimbiwa
Magari ni liability siyo asset
Ova
Ni mapepo watakavitu hao mabrevis.Yanahondomola mafuta kiroho mbaya.Have a trial ujute hadi uwe mkondefu!View attachment 3234527
Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!
Toyota Brevis zilikuja kwa kasi kubwa sana lakini jambo la kunishangaza wamiliki wameziuza haraka sana na hakuna watu wenye mvuto nazo, mji unao ongoza kuziondoa ni Dar es Salaam hivi sasa zinaonekana kwa bahati sana
Ni nini tatizo lililoikumba Toyota Brevis walimwengu?
Namba E Crown napishana nazo mjini bado watu wanazielewaCr
Verosa ilianguka thamani ghafla
crown nayo imetrend muda mfupi now sio kiivyoo tena!
Bora hii Suzuki manka 😁😁
Lita mkuu kamaanisha lita 3Msaada 3L ni nini
Sawa nashukuru KiongoziLita mkuu kamaanisha lita 3
Mkuu, kukusaidia kutoka point A kwenda point B haibadilishi kuwa asset.Mimi nadhani tufike sehemu, hii elimu ya Mzungu aliyotuachia tuitafakari upya. Hivi gari unatumia mwenyewe. Inakusaidia kutoka point A kwenda B. Utaitaje liability? Ukiugua au kuuguza usiku, ni hiyo gari itakukimbiza kuokoa uhai. Utaitaje liability?
Ok. Nyumba ni asset. Lakini ukipata dharura, haina msaada. Kitu kinachokusaidia mwenyewe ni asset muhimu. Mwisho wa siku, gari ina wear out, inachoka unauza. Lakini hiyo ni kwa vitu na watu. Hata sisi unafika mda tunachoka, hatuhitajiki tena duniani. Ni kanuni ya maisha.
Mimi nadhani gari ni asset. Tena asset ya maana tuu. Faida zake ni both tangible na intangible.
Wabongo tunapenda hadithi za kutunga wengi wanalalamika kuhusu ulaji wa mafuta kana kwamba wanamiliki brevis.Inapokuja swala la kumiliki Brevis, wana JF wengi wanaonekana ni choka mbaya.
Brother nishauri nataka nijitose kwenye Mitsubishi Outlander vipi kwa uzoefu wakoCrown ime trend muda mfupi wakati watu wamesajili EK juzi juzi tu hapo. Na bado Crown series inaendelea EL...EM...EN mpaka namba F crown bado itanunuliwa.
Mkuu uliamini kuwa humu watu wana pesa? Wengi ni choka mbaya sanaInapokuja swala la kumiliki Brevis, wana JF wengi wanaojinadijisha wako vizuri kiukwasi kumbe ni choka mbaya.
Ingia tu mule, kipenda roho hula nyama mbichiBrother nishauri nataka nijitose kwenye Mitsubishi Outlander vipi kwa uzoefu wako
Hakuna latest V8,zile LC 300 Ni V6Hazipo mjini siku hizi unaweza kupishana na mbili tu kwa siku nzima lakini ukaposhana na latest model V8, 100 per day
Brevis Dar labda Mwanza ndo zipo