Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!

Zimeuzwa wapi, nje ya nchi?
 
Kwa Sasa watu wamehamia Subaru Forester xT.baada ya miaka minne nazo zitapotea
 
Ilikuwepo verosa ikak8mbiwa
Mark x yenyewe ishakimbiwa
Crown yenyewe ishaanza kukimbiwa
Magari ni liability siyo asset

Ova
Kuna brand hazikimbiwi no matter ni model gani. It seems yanayo kimbiwa yana shida z akufanana, na ichumi wa kibongo ukiwa ndio changamoto kubwa
 
Kuna brand hazikimbiwi no matter ni model gani. It seems yanayo kimbiwa yana shida z akufanana, na ichumi wa kibongo ukiwa ndio changamoto kubwa
IST bado imekuwa mwokozi bara la Afrika
 
Ungeipata tafsiri halisi ya haya maneno "Asset na liability" usingeongea hivi
 
Pambana uwe navyo vyote. Utabadilisha mtizamo.
Ninavyo vyote ila kwa mtu ambae hana nyumba alafu anawaza kununua gari ya kutembelea tu haimuingizii kipato ni bora aanzishe biashara kuliko kukimbilia gari
 
Ninavyo vyote ila kwa mtu ambae hana nyumba alafu anawaza kununua gari ya kutembelea tu haimuingizii kipato ni bora aanzishe biashara kuliko kukimbilia gari
Nikweli kwasababu biashara au kazi itampa mtu mali
 
An asset is anything owned by an individual or company that has potential economic value, Nyumba inakuwaje ni liability?
 
An asset is anything owned by an individual or company that has potential economic value, Nyumba inakuwaje ni liability?
Naomba uiweke pembeni japo kwa muda hiyo tafsiri ya kwenye Kamusi.
Nenda kamsome mfanyabiashara maarufu katika eneo la Real Estate huko US ndugu Robert Kiyosaki. Kitabu chake cha RICH DAD POOR DAD kitakufunza mengi kuhusiana na Assets na Liabilities katika maisha halisi ya kibiashara.
 
kwa hiyo huyo KIYOSAKI amesema nyumba haina POTENTIAL ECONOMIC VALUE?, asset ni lazima ikuingizie mapato instantly?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…