Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!

Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!

View attachment 3234527

Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!

Toyota Brevis zilikuja kwa kasi kubwa sana lakini jambo la kunishangaza wamiliki wameziuza haraka sana na hakuna watu wenye mvuto nazo, mji unao ongoza kuziondoa ni Dar es Salaam hivi sasa zinaonekana kwa bahati sana

Ni nini tatizo lililoikumba Toyota Brevis walimwengu?
Zimeuzwa wapi, nje ya nchi?
 
Kwa Sasa watu wamehamia Subaru Forester xT.baada ya miaka minne nazo zitapotea
 
Ilikuwepo verosa ikak8mbiwa
Mark x yenyewe ishakimbiwa
Crown yenyewe ishaanza kukimbiwa
Magari ni liability siyo asset

Ova
Kuna brand hazikimbiwi no matter ni model gani. It seems yanayo kimbiwa yana shida z akufanana, na ichumi wa kibongo ukiwa ndio changamoto kubwa
 
Kuna brand hazikimbiwi no matter ni model gani. It seems yanayo kimbiwa yana shida z akufanana, na ichumi wa kibongo ukiwa ndio changamoto kubwa
IST bado imekuwa mwokozi bara la Afrika
 
Mimi nadhani tufike sehemu, hii elimu ya Mzungu aliyotuachia tuitafakari upya. Hivi gari unatumia mwenyewe. Inakusaidia kutoka point A kwenda B. Utaitaje liability? Ukiugua au kuuguza usiku, ni hiyo gari itakukimbiza kuokoa uhai. Utaitaje liability?

Ok. Nyumba ni asset. Lakini ukipata dharura, haina msaada. Kitu kinachokusaidia mwenyewe ni asset muhimu. Mwisho wa siku, gari ina wear out, inachoka unauza. Lakini hiyo ni kwa vitu na watu. Hata sisi unafika mda tunachoka, hatuhitajiki tena duniani. Ni kanuni ya maisha.

Mimi nadhani gari ni asset. Tena asset ya maana tuu. Faida zake ni both tangible na intangible.
Ungeipata tafsiri halisi ya haya maneno "Asset na liability" usingeongea hivi
 
Pambana uwe navyo vyote. Utabadilisha mtizamo.
Ninavyo vyote ila kwa mtu ambae hana nyumba alafu anawaza kununua gari ya kutembelea tu haimuingizii kipato ni bora aanzishe biashara kuliko kukimbilia gari
 
Ninavyo vyote ila kwa mtu ambae hana nyumba alafu anawaza kununua gari ya kutembelea tu haimuingizii kipato ni bora aanzishe biashara kuliko kukimbilia gari
Nikweli kwasababu biashara au kazi itampa mtu mali
 
Maneno ya Asset na Liability yekaa kiuchumi au kibiashara zaidi. Hivyo kwa muktadha huu;
Asset ni kitu chochote kinachokuingizia pesa/mali kwa faida, iwe ni kwa siku, wiki, mwezi au mwaka. Hivyo hata nyumba inaweza kuwa ama Asset au Liability kutegemea na matumizi yake. Kama utakuwa umeipangisha hiyo itakuwa ni Asset. Lakini kama unaishi mwenyewe, hiyo ni Liability, kwa kuwa haikuingizii chochote. Kwa upande wa gari nayo ni hivyo hivyo. Gari ambayo umeikodisha na inakuingizia kipato hiyo ni Asset. Kama ni kwa matumizi yako mwenyewe binafsi, hiyo ni Liability. Wataalamu waatakuja waongezee zaidi.
An asset is anything owned by an individual or company that has potential economic value, Nyumba inakuwaje ni liability?
 
An asset is anything owned by an individual or company that has potential economic value, Nyumba inakuwaje ni liability?
Naomba uiweke pembeni japo kwa muda hiyo tafsiri ya kwenye Kamusi.
Nenda kamsome mfanyabiashara maarufu katika eneo la Real Estate huko US ndugu Robert Kiyosaki. Kitabu chake cha RICH DAD POOR DAD kitakufunza mengi kuhusiana na Assets na Liabilities katika maisha halisi ya kibiashara.
 
kwa hiyo huyo KIYOSAKI amesema nyumba haina POTENTIAL ECONOMIC VALUE?, asset ni lazima ikuingizie mapato instantly?
 
Back
Top Bottom