Hii hesabu ya 2Km/l umeipataje?2km kwa lita!
Labda uwe Bopar ndiyo unaweza kuhimili kishindo hicho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hesabu ya 2Km/l umeipataje?2km kwa lita!
Labda uwe Bopar ndiyo unaweza kuhimili kishindo hicho!
Changamoto zake kuhusu hizo gari ni zipi kaka nieleze tafadhaliIngia tu mule, kipenda roho hula nyama mbichi
Zimeuzwa wapi, nje ya nchi?View attachment 3234527
Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!
Toyota Brevis zilikuja kwa kasi kubwa sana lakini jambo la kunishangaza wamiliki wameziuza haraka sana na hakuna watu wenye mvuto nazo, mji unao ongoza kuziondoa ni Dar es Salaam hivi sasa zinaonekana kwa bahati sana
Ni nini tatizo lililoikumba Toyota Brevis walimwengu?
Nilidhania hivyo, kumbe nilikuwa nimekosea.Hii hesabu ya 2Km/l umeipataje?
Elewa kabla ya kujibuKwa hiyo sisi tusio na vipando ni wapumbavu sio?
Unaweza kuzunguka nayo TANZANIA nzima bila shidaZinahimili masafa marefu sio
Kuna brand hazikimbiwi no matter ni model gani. It seems yanayo kimbiwa yana shida z akufanana, na ichumi wa kibongo ukiwa ndio changamoto kubwaIlikuwepo verosa ikak8mbiwa
Mark x yenyewe ishakimbiwa
Crown yenyewe ishaanza kukimbiwa
Magari ni liability siyo asset
Ova
Ongeza ml 2 nkuletee na D kabisa latestNina milioni 2 mwenye nayo
Economicaly one of the best car, althogh practicaly hakiend kila mahali. Ila ndio kama suit matumizi ya mtanzaniaIST bado imekuwa mwokozi bara la Afrika
Ungeipata tafsiri halisi ya haya maneno "Asset na liability" usingeongea hiviMimi nadhani tufike sehemu, hii elimu ya Mzungu aliyotuachia tuitafakari upya. Hivi gari unatumia mwenyewe. Inakusaidia kutoka point A kwenda B. Utaitaje liability? Ukiugua au kuuguza usiku, ni hiyo gari itakukimbiza kuokoa uhai. Utaitaje liability?
Ok. Nyumba ni asset. Lakini ukipata dharura, haina msaada. Kitu kinachokusaidia mwenyewe ni asset muhimu. Mwisho wa siku, gari ina wear out, inachoka unauza. Lakini hiyo ni kwa vitu na watu. Hata sisi unafika mda tunachoka, hatuhitajiki tena duniani. Ni kanuni ya maisha.
Mimi nadhani gari ni asset. Tena asset ya maana tuu. Faida zake ni both tangible na intangible.
Pambana uwe navyo vyote. Utabadilisha mtizamo.We nani kakwambia ukipata dharura nyumba haina msaada? Ukiugua unalala kwenye gari?
Ninavyo vyote ila kwa mtu ambae hana nyumba alafu anawaza kununua gari ya kutembelea tu haimuingizii kipato ni bora aanzishe biashara kuliko kukimbilia gariPambana uwe navyo vyote. Utabadilisha mtizamo.
BrevisMkuu nikiwa na 25, unanishauri ni bebe ndinga gani kwa sasa room.
An asset is anything owned by an individual or company that has potential economic value, Nyumba inakuwaje ni liability?Maneno ya Asset na Liability yekaa kiuchumi au kibiashara zaidi. Hivyo kwa muktadha huu;
Asset ni kitu chochote kinachokuingizia pesa/mali kwa faida, iwe ni kwa siku, wiki, mwezi au mwaka. Hivyo hata nyumba inaweza kuwa ama Asset au Liability kutegemea na matumizi yake. Kama utakuwa umeipangisha hiyo itakuwa ni Asset. Lakini kama unaishi mwenyewe, hiyo ni Liability, kwa kuwa haikuingizii chochote. Kwa upande wa gari nayo ni hivyo hivyo. Gari ambayo umeikodisha na inakuingizia kipato hiyo ni Asset. Kama ni kwa matumizi yako mwenyewe binafsi, hiyo ni Liability. Wataalamu waatakuja waongezee zaidi.
Naomba uiweke pembeni japo kwa muda hiyo tafsiri ya kwenye Kamusi.An asset is anything owned by an individual or company that has potential economic value, Nyumba inakuwaje ni liability?
kwa hiyo huyo KIYOSAKI amesema nyumba haina POTENTIAL ECONOMIC VALUE?, asset ni lazima ikuingizie mapato instantly?Naomba uiweke pembeni japo kwa muda hiyo tafsiri ya kwenye Kamusi.
Nenda kamsome mfanyabiashara maarufu katika eneo la Real Estate huko US ndugu Robert Kiyosaki. Kitabu chake cha RICH DAD POOR DAD kitakufunza mengi kuhusiana na Assets na Liabilities katika maisha halisi ya kibiashara.