Ukweli ni up I, wewe ni mwanaume au Mwanamke???Ila kuna huyo anayejiita The List anataka kuniharibia siku na kunitafutia BAN amekuwa mara nyingi kwa ID zake nyingine ananitusi eti mimi ni mwanamme lakini najifanya mwanamke kuna hata wakati alishanipandishia thread, sasa naona tena mwaka huu kanianza tena, ila nimemwambia hanipati na wala sina muda wa kumtukana maana sitaki BAN najijua nina matusi mabaya sana, kiasi kwamba nikianza kumtukana mods lazima watanikata kichwa kwa BAN
Ukweli jirani mi miaka yote najua we ni mwanaume.... hope uko salama, ila tuambiane ukweli hapo bar na chimbo jipya umepajuaje maana sisi ni watoto wa rock city mall. Au ndio mmmmm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni mwanamke mwenye UKE wenye heshima ACHANA na huyo The List naona ameshanitafuta sana kwa kutumia ID zingine. namdharau tu sitaki tena BAN mwaka huu
karibu, wee si unakaa Ghana, sasa kama huna gari binafsi, basi panda costa za Buswelu - Ilalila kituo ni pale mitimirefu au wengine wanaita Mohamed halafu uombe kushushwa kituo cha KWA MASHAKA ukiangalia upande wa pili utaiona baa yetu pendwa hahahahaahha.Ukweli jirani mi miaka yote najua we ni mwanaume.... hope uko salama, ila tuambiane ukweli hapo bar na chimbo jipya umepajuaje maana sisi ni watoto wa rock city mall. Au ndio mmmmm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahahaaah, umeweza mbali kweli Gucci gang tehe tehe tehe hahahahahahHiyo inamaana Kua unaweza ukawa unakunywa hapo afu kwenu ni walokole sasa uko na marafikj zako Mnashusha one two afu dingi anaingia hapo sasa ndo msemo huo unapotumika.....
Au unahisa umo mbona kama ndio unaitagaza.. nitakuja kwa Heshima yakokaribu, wee si unakaa Ghana, sasa kama huna gari binafsi, basi panda costa za Buswelu - Ilalila kituo ni pale mitimirefu au wengine wanaita Mohamed halafu uombe kushushwa kituo cha KWA MASHAKA ukiangalia upande wa pili utaiona baa yetu pendwa hahahahaahha.
Hahahahahah ntakuja nipo jirani saiv ila Hilo jina la baa sasa[emoji134] [emoji134] [emoji134]Kapeace, tafadhari nakupa mwaliko sikuu ya mapinduzi tukutane USIYEMPENDA KAJA LEO BAR, maana putin hata uwepo hapo... nahisi itapendeza zaidi
Poa tukutane PMHahahahahah ntakuja nipo jirani saiv ila Hilo jina la baa sasa[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mwambie ATUBU!Mwenye bar atakua ni mtu wa visasi na kukomoana.
Bar iko vizuri kabisa.Hilo jina sasa la bar refu halafu km halivutii hiyo bar sijui inafananaje
Hapana ni majina ya wapare ya wanawake. Huyo The List huwa ananichimba tu mara nyingi kwa ID zake zingine but sasa nimeamua kumpotezeaJina linazingua mi mwenyewe nilijuaga wewe ni me[emoji125] [emoji134] [emoji134]
mmh! labda ila kama nilivyosema jina lake anaitwa MASHAKAMwenye Bar atakuwa mtu wa Mipasho.