Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

View attachment 3281854
Wakuu Nimetoka kazini nakuta mtaani kwangu wanauza 200 wanasema ni Zaituni.

Hivi na Zaituni za Mashariki ya kati ziko namna hii?
Kama zilivyo embe na zabibu ndivyo na zaituni zilivyo, zinatofautiana kiumbo na ladha lakini inabaki kuwa zaituni.
Mti wa mzaituni huzaa mwaka mzima, hauna msimu kila siku matunda yanaiva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…