Ushawahi kusikia Mavi yanafaida ki afyaKama mavi yana faida kiafya tunakula tu mkuu, hakuna namna.
Kiingereza na kiswahili tofauti yake ni nini?Zeituni na olive tifauti yake ni ipi?
Katoni ya hayo matunda? Upo mkoa gani?hahaha 😀 mnitumie carton 1 mkoani huku neighbour.
Kanda maalum huku nanjilinji 🙂Katoni ya hayo matunda? Upo mkoa gani?
Ukisema utatekwa?Kanda maalum huku nanjilinji 🙂
haha hali si shwari neighbor [emoji1787]Ukisema utatekwa?
Kiingereza linaitwa egg-yolk fruit. Wanaliita zeituni kiswahili japo siyo zeituni.
Watu wazushi bana!!Hahaha! Unajua nini, niliwahi kuambiwa matunda yenye rangi kali sana jiepushe nayo. Kwa mfano, katika hali ya kawaida bilinganya inatakiwa iwe na sumu, ndio maana sili! 😀 😀
Buguruni hapa mkuu
Nimekuuliza wewe amabae unasema Mavi yanaweza kuwa kitu chenye afya yaani urudishe kitu ulichokula tumboniSijawahi kusikia mkuu. Wewe umewahi kusikia?
Matunda yai hayo (Pouteria campechiana), pia Canistel fruits, yanaitwa matunda yai sababu unapolila mdomoni ni kama kiini cha yai unapokitafuna, jina jingine mashuhuri ni "Lukuma" (inaandikwa Lucuma).View attachment 3281854
Wakuu Nimetoka kazini nakuta mtaani kwangu wanauza 200 wanasema ni Zaituni.
Hivi na Zaituni za Mashariki ya kati ziko namna hii?
Unaona aibu upo kijijini, hamia mjini sasa 😁😁haha hali si shwari neighbor [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaona aibu upo kijijini, hamia mjini sasa
Pole mkuu mapenzi hayana huruma na mtu yoyote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mapenzi yalinishinda nikahamia kwenye kilimo neighbor mjini nitakuja nikivuna.
haha hata me naona yanavyokunyoosha kila wiki unafungua uzi mpya 🙂Pole mkuu mapenzi hayana huruma na mtu yoyote