Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

Wewe umesema tutakuja kula mavi siku moja.
Nikakujibu kwamba kama hiyo siku moja ikifika na mavi yakawa na faida basi tutakula tu mkuu.
Poa nenda kale yanafaida kukupa utajiri wa kumzidi Elon musk
 
Matunda yai hayo (Pouteria campechiana), pia Canistel fruits, yanaitwa matunda yai sababu unapolila mdomoni ni kama kiini cha yai unapokitafuna, jina jingine mashuhuri ni "Lukuma" (inaandikwa Lucuma).
Bila shaka hili ni jibu sahihi
 
Back
Top Bottom