Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

Tatizo la kiswahili ili jina Zaituni lipo kwenye aina 2 za matunda mojawapo ndiyo hayo aliyo post mdau na kuna mengine tofauti kabisa yanaitwa zaituni mimi mwenyewe kiswahili kina ni vurugaga ilo tunda ni zaituni pia kwa kingereza lina majina kama egg fruit nk
haaa!!!👿kumbe?
 
Siyo zaituni hii.
Hii labda inaitwa Zainabu.
Screenshot_20250324_194234_Google.jpg
 
Wanayauza wapi dar nataka nikanunue nimekula hili tunda kama week 3 zilizo pita ila mtu nilimuagizia mbali ...hapa dar yana patiala kwa wingi wapi
Mimi haya nimeyakuta mtaani kwangu hapa kuna sehemu wanauza maana wana mti uko uwani.
Ila kama unahitaji kwa wingi unaweza kwenda Sokoni yanaweza kupatikana.
 
Mimi haya nimeyakuta mtaani kwangu hapa kuna sehemu wanauza maana wana mti uko uwani.
Ila kama unahitaji kwa wingi unaweza kwenda Sokoni yanaweza kupatikana.
Yana bei sana wanaweza kukuuzia tunda moja sh 8000elfu hadi elf10 tunda moja
 
Yana bei sana wanaweza kukuuzia tunda moja sh 8000elfu hadi elf10 tunda moja
8,000 au 800? 🤣🤣🤣
Mimi nimenunua 200 kila moja. Shilngi mia mbili za Tanzania 🤣🤣
 
8,000 au 800? 🤣🤣🤣
Mimi nimenunua 200 kila moja. Shilngi mia mbili za Tanzania 🤣🤣
Tsh8000 hadi sh10000 ndiyo maana ayapatikani hovyo hayo matunda
 
Back
Top Bottom