Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

Mafuta ya Zeitun hayatengenezwi kutokana na hilo tunda, matunda ya Zeitun ni madogo kiumbo kuliko hilo tunda.
Hili ndiyo ninalojua.
Matunda ya Zeituni ni madogo saa kiumbo ukilinganisha na hili.
ChatGPT imenijibu kwamba huenda hii ni Zaituni ya Afrika
 
Hahaha! Unajua nini, niliwahi kuambiwa matunda yenye rangi kali sana jiepushe nayo. Kwa mfano, katika hali ya kawaida bilinganya inatakiwa iwe na sumu, ndio maana sili! 😀 😀
Hii mpya, vipi ndizi rangi yake siyo kali?
 
Back
Top Bottom