Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Ulipouliza haya ni matunda gani nikadhani ni mapya yameletwa nchini 😄 🤣 😂 😆Yspo mkuu nyumba ya tatu kutoka ninapoishi.
Ulipouliza haya ni matunda gani nikadhani ni mapya yameletwa nchini 😄 🤣 😂 😆Yspo mkuu nyumba ya tatu kutoka ninapoishi.
Hata mimi sikulipendaMm silipend ivyo tu
Kama ni genera na specific names ni sawa haina shida.Kulingana na historia ya alipokuwa Yesu hizi Zaituni hazistawi kule mkuu.
Yeye alikula vile vizaituni vidogo
Watatuona washambaHata mimi sikulipenda
MagogontiNi tunda gani?
mpaka hapa nimeshajua jina lake.Swali limeulizwa kwamba zaituni hilo ni sawa na yale ya MLIMA WA MIZEITUNI alipopita Yesu?
HatareeHahaha! Unajua nini, niliwahi kuambiwa matunda yenye rangi kali sana jiepushe nayo. Kwa mfano, katika hali ya kawaida bilinganya inatakiwa iwe na sumu, ndio maana sili! 😀 😀