Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

Hili ndiyo ninalojua.
Matunda ya Zeituni ni madogo saa kiumbo ukilinganisha na hili.
ChatGPT imenijibu kwamba huenda hii ni Zaituni ya Afrika
Zaituni hizo, tamu sio kawaida, unga mtupu.
 
Mimi siyo mtaalamu wa Jiografia mkuu.
Mediterania nilitaka kumaanisha Zaituni kutoka Tunisia (ambayo iko ubavuni mwa bahari ya mediterania.
Ok nimekuelewa, Maana beach front ya Tel Aviv iko Mediterranean Sea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…