Wataalamu wa mazoezi: Naweza kutumia muda gani kupata matokeo haya?

Miaka mitatu nyuma nilijitahidi Sana kwamba na Mimi niwe hivyo nikawa napiga mazoezi ya kufa mtu Ila Sasa mwisho wa picha nilikuwa nakula Sana badala ya kuwa na mwili wa mazoezi mkitambi ukawa unazidi kukua tu .

Na kutokea pale mpaka leo nimeshindwa kuliondoa hili tumbo .

Msaada wenu ni muhimu kikubwa msiniambie habari za diet huko siwezi hata kwa dawa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…