Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mkuu fanya mazoezi ya kuuweka mwili fiti kiafya tu basi na sio kuufanya hivyo pichani, kumbuka ukikaza sana utakazwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huwezi diet Usiombe ushauri maana wewe ni matokeo ya chakula unachokulaMiaka mitatu nyuma nilijitahidi Sana kwamba na Mimi niwe hivyo nikawa napiga mazoezi ya kufa mtu Ila Sasa mwisho wa picha nilikuwa nakula Sana badala ya kuwa na mwili wa mazoezi mkitambi ukawa unazidi kukua tu .
Na kutokea pale mpaka leo nimeshindwa kuliondoa hili tumbo .
Msaada wenu ni muhimu kikubwa msiniambie habari za diet huko siwezi hata kwa dawa .
Ushauri mzuriNi heri aende gym kama anavyofikiria
Mwili wake unaonekana akijiachia na kula kula hovyo ananenepa chap
Safi sanaZaman kabla ya kuanza kupenda mazoezi nilikuwa na mentality kama hao walio-coment negativity hapo juu.
Kwa matokeo ya hivo kaka ukikomaa kwa week mazoezi mara 4 non stop na ukawa unakula vizuri vyakula vya protins na unapata masaa nane ya kupumzika huo mwili mwaka tu unaupata.
Binafsi napenda sana mazoezi, mazoezi yanakupa nidhamu sana kuanzia life style ya kuishi ulaji na maisha kwa ujumla pia nilianza kuingia damu ya mazoezi 2021 nikiwa na 25yrs mwanzo niliingia na mawazo ya nijae nipate mademu na kweli ikawa ivo baadae 2023 mentality hiyo ikafa now mazeozi ni sehemu ya maisha yangu kwani ni kwajili ya afya yangu na afya ni uhai haiwezi pita siku tatu sijafanya mazoezi.
Mungu akinijalia nikiseto mkoa mmoja nitakuwa napata muda mzuri wa mazoezi lazima niwe niwe na sets za gym kwa sasa nina set ya 50kg sio haba zinanipa kitu.
Mwili wangu sio mkubwa sana kama ninavyotaka ila unanipa confidence sana na kuna sehemu ukienda watu wanakuhanya live.Kwa sasa nina 75kgs Lengo langu kufikia 2030 niwe na 85kgs of muscles bila mafuta.
Kuna uzi wa jf gym nilifungua ukiusachi utaona.All in all huo mwili ni gharama sana(unapatikana kwa pesa, jasho,maumivu na damu ndio maana wacheche wenye nidhamu wana hiyo miili) misosi ya protins ndio kila kitu ukishindwa misosi chukua supplements.
Huo ni uongo?Acha na huyo J mimi ndiye siwezi kuishi bila wewe
Weka piçha ya sasa tuone ulivyo, kuna maumbo mengine hata upige gym maisha yako yote utabaki Hivyo hivyo. Kama uko kàma Pierre Liquid unadhani gym ndo itafanya ufanane na hiyo picha?.
Kama hauna mke hiyo michoro huko tumboni ni rahisi sana kuipata ila kama unae mke sahau kabisa kupata hiyo michoro ya tumboni zaidi sana utapata kakitambi kwa mbali ambacho wao wenyewe hawakipendi
Njoo kwangu nina kifua kama kipeyuBado sijawahi kuelewa hayo madude mnayapendea nini🤒🤒
Vipi bahasha lako la kipalestina lenye misuli ulisha lipokea air port?Naona umeamua kuja na ID nyingine baada ya kujisahau kwenye ile ID yako nyingine na kujianika humu kua wewe ni mchicha mwiba,
Umebadili ID ila umekuja na akili zile zile ndio maana nimekugundua,
Acha ushoga bwabwa wewe,unawatia hasara wazazi wako waliohangaika kukulea,
Huu uzi hauhusiani na mambo ya Hamas ila ulivyoona comment yangu tu,ukaamua kujipitisha kwangu huku unanitingishia Vitrako vyako.
Bro usimfokee shemegi ako 😂 unazidi kumchanganyaHuyo ni bro
Sasa endelea kujichanganya
HunishindiBado sijawahi kuelewa hayo madude mnayapendea nini🤒🤒
Jitu mwitu msitu, jitu la miraba minne rijali matata.....nagusa naachia naenda kwao.Tuache utani wewe ji mwanaume, mwanamke au tomboi?
Sijaelewa kitu blaza / sisitaJitu mwitu msitu, jitu la miraba minne rijali matata.....nagusa naachia naenda kwao.
Ha ha ha kweli bro mfuko utatobokaApo mchawi lishe hamna jipya🙌
Uko sahihi apo mchawi ma powder na kusubiria ma side effectsWengi wao hao wanatumia Suppliments na anabolic steroids ambazo husaidia muscle growth,
Bila kutumia hayo madawa,sio rahisi kugain muscle growth kiasi hicho kwa muda mfupi.
UKIONA HUELEWI UJUE HAYAKUHUSU..!🤣Sijaelewa kitu blaza / sisita
Dah😂😂😂Njoo kwangu nina kifua kama kipeyu