Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

===
Wananzengo anayejua maana ya arrangement hii kwenye hii COP26 Glasgow Scotland iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pembeni ya Rais Joe Biden wa Marekani,
===

<Mkao huu kiprotokali unamaanisha nini?>
View attachment 1995473
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
===
Wananzengo anayejua maana ya arrangement hii kwenye hii COP26 Glasgow Scotland iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pembeni ya Rais Joe Biden wa Marekani,
===

<Mkao huu kiprotokali unamaanisha nini?>
View attachment 1995473
Tanzania kwa miaka yake yote 60 haijawahi kupata Rais Mwanamke ,

1.Mchapakazi

2. Mchamungu,

3. Mpole

4. Mwadilifu,

5. Mpendahaki,

#HAKIKA HAKUNA KAMA SAMIA
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Back
Top Bottom