Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Mnaota nyinyi amken amken amken
Yan USA ambayo ni moja ya mataifa makubwa kwenye sekta karibia zote iko vizuri afu Tanzania ambayo ni inaendelea itoe msaada USA ladba msaada wa mali gafi.
Tulia wewe sisi ni donor kantreeee.Tunatumia pesa zetu za ndani tu.
 
Aya umeni group kwa jokers
 
😍😍😍
 
Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
View attachment 1995473
Waswahili kwa kulazimisha sifa hatujambo sana; yaani hujui kuwa kwenye alphabetical list ya nchi duniani, United States of America huwa inaifuatia United Republic of Tanzania ambayo pia inaifuatia United Kingdom? Pale Umoja wa Mataifa Bendera ya Tanzania inapakana na bendera za UK na USA, na kwenye vikao USA, Tanzania na UK huwa wanakalisha bega kwa bega? Leo hii hilo nalo liwe maajabu?

 
Hivi umeshawahi kuangalia Olympic? Wakishaingia uwanjani USA ni nchi ipi inafuata? United Kingdom? JIONGEZE!!!! Acha KUKURUPUKA!!!

Why Borison wa United Kingdom yuko mbali vile?

Chadema bna hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…