Hio ni rangi ya nje. Mafundi hawajui Kiingereza wakisikia emulsion wanajua ni rangi ya ndani tu.Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.?
Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSUON haifai kupaka nje ya nyumba?
Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora?
Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje.
Nyumba ilishapakwa rangi nataka kuirudia tu.
ASANTENIView attachment 3606550
Zilikuja kama zawadi ila fundi akanambia ukiona rangi imeandukwa hili neno "masheni"(emulsion) ni rangi ya mqji huwezi kuipaka nje.Hio ni rangi ya nje. Mafundi hawajui Kiingereza wakisikia emulsion wanajua ni rangi ya ndani tu.
Nje inapakwa rangi maalum ambayo inaweza kuvumilia na kukinga nyumba dhidi ya maji maji,jua etc yaani inavumilia hali ya hewa yoyote bila kuharibika. Ndani inapakwa rangi ya kawaida hata ya maji.Kumbe Kuna rangi ya ndani ya nyumba na Kuna rangi ya nje ya nyumba? Nilikuwa sijui.
Nyeusi inaendana sana sanaHakika mkuu sijawahi vutiwa na bati la blue ila nyekundu maron na nyeusi nazipend
Utupe mrejesho wa matokeo yke basiAsante mkuu.
Niliogopa kuzitumia ila kwa muongozo wako nimezitumia