Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Kwasababu umetamani kujifunza wacha ujibiwe kwa heshimaKwema?
Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi?
Kwanini Captain Tesha alionya polisi watakazuia waandamanaji kuwa watakuja kuulizwa hapo baadaye?
Lengo lake hasa la kutoka hadharani ni lipi?
Ikiwa (labda) kuna mpango wa coup d'etat why atoke hadharani kumpa faida ya kujipanga huyu aliyeko madarakani?
Amefanya hivyo kwa lengo gani hasa na ni ipi target yake katika hilo?
Kwa jinsi viongozi huko majeshini walivyo na miradi lukuki, kukwepa kodi na malipo kadha wa kadha hakyanani haiwezekani kwa sasa.Coup d'etat kwa bongo bado sana, bado mno labla hiki kizazi cha sasa kife chote.
Mambo ya ndani sana hayaKwasababu umetamani kujifunza wacha ujibiwe kwa heshima
Kimsingi hiyo ni miongoni mwa mbinu chache zenye nia njema.
Kimedani inatambuliwa kama (conscientious disobedience) yaani uvunjwaji wa sheria kwa makusudi au hutambuliwa pia kama Principled Ins disobedience .
Pengine unaweza kuwa na swali la nyongeza, je! Siyo kosa kisheria?
Ufafanuzi, kwa muktadha wa kijeshi nidhamu na utii au kwakifupi tuite (chain of command) ndio msingi wa utendaji.
Kuvunja sheria hizi ni hatari na adhabu zake huwa nzito ,hata kifo wakati mwingine.
Lakini kisichofahamika na wengi nikwamba hata mwanajeshi ana wajibu wa Kikatiba na wa Kimataifa wa kukataa amri zisizo za kisheria, Kwa mfano, amri ya kutekeleza mauaji ya kimbari au mateso.
Najitahidi kufafanua kwa ufupisho sana ili tusipoteane.
Nini hasa lengo husika ?
Lengo husika hapo huwa ni kupeleka ujumbe kwa serikali, hatua hiyo inaweza kuitwa Whistleblowing (Kupiga Kengele ya tahadhari kwa watawala wakisiasa).
Na hapo muhusika nilazima ajijite kwenye key issues kuielekeza serikali husika maeneo ambayo kwa upande wa Jeshi inatamani kuona yakifanyiwa kazi, hapo wanaweza kugusa maeneo mbalimbali mfano yanayohusu pengine ufisadi, uonevu wa haki za raia na makosa mengine makubwa makubwa ndani ya taasisi yake kwa madhumuni ya kuitaka serikali au umma kujua na kuchukua hatua.
Twende harakaharaka.
Nikuwekee mifano michache ninayoikumbuka .
Unaweza kuingia Google na ukatafuta kisa cha mwamba sana Daniel Ellsberg nadhani hii iliwahi kuandika kwenye (Pentagon Papers) saga la mwamba huyu aliwahi kuchapisha hati za siri za serikali ya Marekani zilizoonyesha ukweli kuhusu Vita vya Vietnam na kuzimwaga hadharani ,lengo alitamani tu kumjulisha Umma ujue ili tuanze kupiga kelele na serikali iweze kuchukua hatua ya kuyarekebisha hayo makosa waliyotuhimiwa nayo.
Lakini pia kunamwingine aliitwa Chelse Manning if am not mistaken
Huyu bwana nae alitumia nafasi yake kama mwanajeshi wa Marekani kupeleka faili nyingine za siri kwa WikiLeaks, aliziona zinamapungufu makubwa kwenye eneo la ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kwa uchache niishie hapo .
Huwezi kuwa Captain wa Jeshi ukatokeza kwenye media na kumuagiza CDF achukue nchi, badala ya kuchukua wewe mwenyewe.Kwema?
Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi?
Kwanini Captain Tesha alionya polisi watakazuia waandamanaji kuwa watakuja kuulizwa hapo baadaye?
Lengo lake hasa la kutoka hadharani ni lipi?
Ikiwa (labda) kuna mpango wa coup d'etat why atoke hadharani kumpa faida ya kujipanga huyu aliyeko madarakani?
Amefanya hivyo kwa lengo gani hasa na ni ipi target yake katika hilo?
Unajitahidi kueleza wazo la “uvunjaji wa sheria kwa dhamira njema” (conscientious disobedience), lakini unakosa umakini wa kitaaluma na muktadha sahihi. Kwanza, unachanganya mazingira ya kijeshi—ambayo msingi wake ni utii wa amri (chain of command)—na mazingira ya kiraia ambapo “whistleblowing” inaweza kuwa halali.Kwasababu umetamani kujifunza wacha ujibiwe kwa heshima
Kimsingi hiyo ni miongoni mwa mbinu chache zenye nia njema.
Kimedani inatambuliwa kama (conscientious disobedience) yaani uvunjwaji wa sheria kwa makusudi au hutambuliwa pia kama Principled Ins disobedience .
Pengine unaweza kuwa na swali la nyongeza, je! Siyo kosa kisheria?
Ufafanuzi, kwa muktadha wa kijeshi nidhamu na utii au kwakifupi tuite (chain of command) ndio msingi wa utendaji.
Kuvunja sheria hizi ni hatari na adhabu zake huwa nzito ,hata kifo wakati mwingine.
Lakini kisichofahamika na wengi nikwamba hata mwanajeshi ana wajibu wa Kikatiba na wa Kimataifa wa kukataa amri zisizo za kisheria, Kwa mfano, amri ya kutekeleza mauaji ya kimbari au mateso.
Najitahidi kufafanua kwa ufupisho sana ili tusipoteane.
Nini hasa lengo husika ?
Lengo husika hapo huwa ni kupeleka ujumbe kwa serikali, hatua hiyo inaweza kuitwa Whistleblowing (Kupiga Kengele ya tahadhari kwa watawala wakisiasa).
Na hapo muhusika nilazima ajijite kwenye key issues kuielekeza serikali husika maeneo ambayo kwa upande wa Jeshi inatamani kuona yakifanyiwa kazi, hapo wanaweza kugusa maeneo mbalimbali mfano yanayohusu pengine ufisadi, uonevu wa haki za raia na makosa mengine makubwa makubwa ndani ya taasisi yake kwa madhumuni ya kuitaka serikali au umma kujua na kuchukua hatua.
Twende harakaharaka.
Nikuwekee mifano michache ninayoikumbuka .
Unaweza kuingia Google na ukatafuta kisa cha mwamba sana Daniel Ellsberg nadhani hii iliwahi kuandika kwenye (Pentagon Papers) saga la mwamba huyu aliwahi kuchapisha hati za siri za serikali ya Marekani zilizoonyesha ukweli kuhusu Vita vya Vietnam na kuzimwaga hadharani ,lengo alitamani tu kumjulisha Umma ujue ili tuanze kupiga kelele na serikali iweze kuchukua hatua ya kuyarekebisha hayo makosa waliyotuhimiwa nayo.
Lakini pia kunamwingine aliitwa Chelse Manning if am not mistaken
Huyu bwana nae alitumia nafasi yake kama mwanajeshi wa Marekani kupeleka faili nyingine za siri kwa WikiLeaks, aliziona zinamapungufu makubwa kwenye eneo la ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kwa uchache niishie hapo .
Na kuunga mkonoHuwezi kuwa Captain wa Jeshi ukatokeza kwenye media na kumuagiza CDF achukue nchi, badala ya kuchukua wewe mwenyewe.
Wanajeshi wa kikweli kweli ni kama Captain Ibrahim Traore wa Burkinafaso, Colonel Mamdou Doumbaya wa Guinea, Master Sergeant Samuel Doe wa Liberia
Hao waliweza kupindua nchi wakiwa na vyeo vya chini. Huyu anayejiita Keptein Tesha ni msanii kama kina Bambo au Kingwendu tu
Nadhani siyo busara kwangu kubishana na yeyote yule mkuu wangu.Unajitahidi kueleza wazo la “uvunjaji wa sheria kwa dhamira njema” (conscientious disobedience), lakini unakosa umakini wa kitaaluma na muktadha sahihi. Kwanza, unachanganya mazingira ya kijeshi—ambayo msingi wake ni utii wa amri (chain of command)—na mazingira ya kiraia ambapo “whistleblowing” inaweza kuwa halali.
Katika jeshi, nidhamu na utiifu ni uti wa mgongo wa uhai wa taasisi; kuhalalisha uvunjaji wa amri kwa hoja za “nia njema” ni hatari kwa usalama wa taifa. Mifano kama ya Daniel Ellsberg na Chelsea Manning haiwezi kutumika moja kwa moja katika mfumo wa kijeshi wa Tanzania, kwani inahusisha majukwaa ya kidemokrasia yenye ulinzi wa kisheria kwa wapiga kengele (whistleblowers).
Zaidi, hujatofautisha kati ya “amri haramu” (illegal order) na “amri isiyopendwa” (undesirable order). Kukataa amri haramu ni wajibu wa kisheria wa mwanajeshi, lakini kukataa amri halali kwa hoja za maadili ni uasi. Kwa hivyo, hoja ya taarifa hii, badala ya kuelimisha, inaweza kuchochea tafsiri potofu ya uwajibikaji wa kijeshi na kuhatarisha utulivu wa taasisi za ulinzi.
Kwa hiyo unadhani JF ni mahali pa kumwaga pumba na kupewa LIKES?. You are wrong, kila unachoandika kinajibiwa, hatuko hapa kumeza pumbaNadhani siyo busara kwangu kubishana na yeyote yule mkuu wangu.
Busara ziniongoze kuheshimu na kutambua mchango wako kwenye hoja iliyomezani .
Swala la wewe kukubaliana na hoja yangu au kinyume chake nalichukulia nisehemu ya matumizi mabaya ya rasilimali muda ,na uzuri nikwamba nimejitahidi sana kuchambua kikanuni ,kwa staha na kimedani.
ukitaka kuelewa utanielewa pasipo matumizi makubwa ya mijadala isiyo na afya kikanuni
Unadhihirisha kuwa unaupumbavu mwingi kichwani na unadhani wote ni level zako ,mmezoea mabishano maandazi ya mitaani huko unafikiri sote ni wa level hizo .Kwa hiyo unadhani JF ni mahali pa kumwaga pumba na kupewa LIKES?. You are wrong, kila unachoandika kinajibiwa, hatuko hapa kumeza pumba
Kwa nini umafikiri amefanya vile kwa lengo maalum, kujipanga, strategy na si kwa emotion tu bila strategy kama Watanzania wengi?Kwema?
Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi?
Kwanini Captain Tesha alionya polisi watakazuia waandamanaji kuwa watakuja kuulizwa hapo baadaye?
Lengo lake hasa la kutoka hadharani ni lipi?
Ikiwa (labda) kuna mpango wa coup d'etat why atoke hadharani kumpa faida ya kujipanga huyu aliyeko madarakani?
Amefanya hivyo kwa lengo gani hasa na ni ipi target yake katika hilo?
Naomba kuuliza huyu afande hajachukuliwa hatua zozote za kisheria mpaka sasa?Nadhani siyo busara kwangu kubishana na yeyote yule mkuu wangu.
Busara ziniongoze kuheshimu na kutambua mchango wako kwenye hoja iliyomezani .
Swala la wewe kukubaliana na hoja yangu au kinyume chake nalichukulia nisehemu ya matumizi mabaya ya rasilimali muda ,na uzuri nikwamba nimejitahidi sana kuchambua kikanuni ,kwa staha na kimedani.
ukitaka kuelewa utanielewa pasipo matumizi makubwa ya mijadala isiyo na afya kikanuni
Hilo naomba nisilijibie ,sina mamlaka nalo.Naomba kuuliza huyu afande hajachukuliwa hatua zozote za kisheria mpaka sasa?