Wataalamu wa sayansi ya vita na coup d'etat. Swali kwenu

Wataalamu wa sayansi ya vita na coup d'etat. Swali kwenu

Hilo naomba nisilijibie ,sina mamlaka nalo.
Kijeshi,mwanajeshi akifanya makosa uwa anaadhibiwa kwenye mahakama za kijeshi ambazo uwongo independent na hizi courts of law zingine

Kwahyo anaweza akawa amewekwa kizuizini ila nyie huku nje msijue chochote
 
Ooh! Okay
 
Unadhihirisha kuwa unaupumbavu mwingi kichwani na unadhani wote ni level zako ,mmezoea mabishano maandazi ya mitaani huko unafikiri sote ni wa level hizo .

Nilichokifanya nikukupuuza ,kitu ambacho najua huna uziwefu nacho ,maana wengi wa aina yako huwaga ni wale wa mijadala mirefu isiyokuwa na tija
Ungekuwa umeni IGNORE, kwanza usingeona post yangu. Pamoja na kwamba umeiona bado umejibu. Wewe ni mburura
 
Ungekuwa umeni IGNORE, kwanza usingeona post yangu. Pamoja na kwamba umeiona bado umejibu. Wewe ni mburura
Duh! We **** bado upo namimi? U clearly h've strong homosexual tendencies , otherwise what the motive behind ?watch u'r step or u'll get a bloody beating and then cry to the world.

What is u'r fundamental reason 4 initiating tensions with someone who simply expressed his opinion friendly , Do you have a mental problem?

Dude ,not everyone is fond of unhealthy confrontations ,. I'm actively trying to avoid u'r nonsense but it seems u're still forcing a fight.

Anyway ....

Go ahead .
 
Itajulikana tu lengo hasa ilikua ni nini.
 
Your hate, threats, and homophobic garbage are disgusting. Threatening violence exposes you as a coward and a bully, not an authority. Stop projecting your insecurity onto others. If you want debate, use words not intimidation. Keep your poisonous opinions to yourself; they hold zero weight here and disappear quietly.
 
Kwasababu umetamani kujifunza wacha ujibiwe kwa heshima

Kimsingi hiyo ni miongoni mwa mbinu chache zenye nia njema.

Kimedani inatambuliwa kama (conscientious disobedience) yaani uvunjwaji wa sheria kwa makusudi au hutambuliwa pia kama Principled Ins disobedience .

Pengine unaweza kuwa na swali la nyongeza, je! Siyo kosa kisheria?

Ufafanuzi, kwa muktadha wa kijeshi nidhamu na utii au kwakifupi tuite (chain of command) ndio msingi wa utendaji.

Kuvunja sheria hizi ni hatari na adhabu zake huwa nzito ,hata kifo wakati mwingine.

Lakini kisichofahamika na wengi nikwamba hata mwanajeshi ana wajibu wa Kikatiba na wa Kimataifa wa kukataa amri zisizo za kisheria, Kwa mfano, amri ya kutekeleza mauaji ya kimbari au mateso.
Najitahidi kufafanua kwa ufupisho sana ili tusipoteane.

Nini hasa lengo husika ?

Lengo husika hapo huwa ni kupeleka ujumbe kwa serikali, hatua hiyo inaweza kuitwa Whistleblowing (Kupiga Kengele ya tahadhari kwa watawala wakisiasa).

Na hapo muhusika nilazima ajijite kwenye key issues kuielekeza serikali husika maeneo ambayo kwa upande wa Jeshi inatamani kuona yakifanyiwa kazi, hapo wanaweza kugusa maeneo mbalimbali mfano yanayohusu pengine ufisadi, uonevu wa haki za raia na makosa mengine makubwa makubwa ndani ya taasisi yake kwa madhumuni ya kuitaka serikali au umma kujua na kuchukua hatua.

Twende harakaharaka.
Nikuwekee mifano michache ninayoikumbuka .

Unaweza kuingia Google na ukatafuta kisa cha mwamba sana Daniel Ellsberg nadhani hii iliwahi kuandika kwenye (Pentagon Papers) saga la mwamba huyu aliwahi kuchapisha hati za siri za serikali ya Marekani zilizoonyesha ukweli kuhusu Vita vya Vietnam na kuzimwaga hadharani ,lengo alitamani tu kumjulisha Umma ujue ili tuanze kupiga kelele na serikali iweze kuchukua hatua ya kuyarekebisha hayo makosa waliyotuhimiwa nayo.

Lakini pia kunamwingine aliitwa Chelse Manning if am not mistaken

Huyu bwana nae alitumia nafasi yake kama mwanajeshi wa Marekani kupeleka faili nyingine za siri kwa WikiLeaks, aliziona zinamapungufu makubwa kwenye eneo la ukiukwaji wa haki za binadamu.

Kwa uchache niishie hapo
 
Back
Top Bottom