Hii ni short term trend. Ili iendelee zaidi ya miezi 6 inabidi Tanzania iongeze exports significantly, kitu ambacho sioni kikitokea.Sisi tulioweka $$$ benki za hapa nyumbani tunaumia vibaya mno we acha tu.
Hiyo Marekani na idondoke mpaka ishangaeDola ya Marekani haijashuka thamani kwa Tanzania tu, bali pia kwa nchi nyingine duniani. Nimesoma mahali pia kuwa sababu nyingine ni kupunguzwa/kushushwa kwa viwango riba (interest rates) huko US, na hivyo kusababisha baadhi ya mabwanyenye wa huko kukimbiza baadhi ya akiba na au vitga uchumi vyao kutoka US kwenda nchi nyinginezo. Wataalamu wa mambo ya uchumi wanaweza kutusaidia kutoa ufafanuzi.
Marekani na iporomoke mpaka iache ushoga,nashangaa BRICS wamepotea ghaflaHii ni short term trend. Ili iendelee zaidi ya miezi 6 inabidi Tanzania iongeze exports significantly, kitu ambacho sioni kikitokea.
In the mid to long term USD itapanda tena tu.
This is a logical non sequitur fallacy.Marekani na iporomoke mpaka iache ushoga,nashangaa BRICS wamepotea ghafla
Kuna mtu huko anabubujikwa na machoziNimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola.
1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali.
Wanadai zamani watalii walikuwa wakilipa ada na gharama zingine kwa dola moja kwa moja kwa makampuni ya utalii, taasisi na mahoteli. Na serikali ilikuwa ikifuata chake kwenye makampuni na mahoteli haya ndiyo ilikuwa inapata dola zake. Hili lilikuwa linasababisha ikose dola nyingi sana(kumbuka kile kikao na wadau wa utalii)Hii sio kweli kwa 100%.
Serikali haikufuta ada za utalii kulipwa kwa dola, bali serikali ilifuta utaratibu wa kulazimisha malipo mbali mbali hapa nchini kuwa kwa dola.
Serikali inahitaji mnoo dola kutoka nje ziingie nchini (ili ikienda nje kufanya malipo izitumie) na serikali kwa sasa haitaki kutoa dola zake kuzunguka humu humu nchini hivyo ndio hilo dhumuni la kufanya hivyo.
Mpaka leo hii na saa hii watalii kutoka nje wanalipa kwa dola. Na hilo ni rahisi kwao na habari njema zaidi kwa serikali
Mwisho kabisa, kushuka kwa dola dhidi ya shilingi ni suala la mpito na halina uhusiano wa moja kwa moja na hatua za serikali. Kitaalamu tunasema it is a nature phenomenon of the graph!
Unakumbuka Ksh ilipanda thamani kwa karibu 25% ndani ya muda mfupi sana huku pesa yetu ikiwa vilevile. Nadhani sababu ya hili ni monetary policies za nchi husika na si sababu ya Feds kushusha riba. Pengine tumeiga mbinu ya Kenya.Dola ya Marekani haijashuka thamani kwa Tanzania tu, bali pia kwa nchi nyingine duniani. Nimesoma mahali pia kuwa sababu nyingine ni kupunguzwa/kushushwa kwa viwango riba (interest rates) huko US, na hivyo kusababisha baadhi ya mabwanyenye wa huko kukimbiza baadhi ya akiba na au vitga uchumi vyao kutoka US kwenda nchi nyinginezo. Wataalamu wa mambo ya uchumi wanaweza kutusaidia kutoa ufafanuzi.
Shilingi ikiimarika mbona interest ndio inatakiwa kushushwa?Benki kuu wameongeza interest rate kwa muda mfupi, hili suala ni la muda mfupi , dollar itapanda watu watashangaa....
Ujanja ujanja tu kuelekea 2025.
Shilingi pia imepanda vs Kenya, kipindi shilingi imeshuka vs Dollar hela ya Kenya ilifika hadi tsh 22 ila sasa hivi ni kama 18. Same kwa Uganda wiki chache zilizopita shilingi moja ya Tz ulipata 1.35 ugx ila sasa hivi unapata 1.54. So ni consistently imekua na nguvu kote.Mhuuu na Uganda,Kenya na kwingineko?
Si Kweli ni Tanzania tu, atleast compare to majiraniMbona dola imeshuka karibu nchi zote duniani? Yani wabongo sijui mnafikiri tunaishi kisiwani
Hiyo Marekani na idondoke mpaka ishangae
Marekani na iporomoke mpaka iache ushoga,nashangaa BRICS wamepotea ghafla
Mhhhh,uchawa ni fursa mpya piaNyie ndio mtaporomoka na kuanguka kwenye ushoga mpaka muombe Marekani wawasaidie. Mbona wanawasaidia sana kwenye umaskini kama mnafikiri wamelaaniwa, nani kati yenu na Marekani aliyelaaniwa. Pia msubiri Dola ikianza kupanda mwakani mpaka kufikia TZS 3800/= ndio mtajua nguvu na akili za Wamarekani.