Wataje hapa CEOs walioleta mafanikio makubwa kwenye kampuni walizosimamia na CEOs waliozingua

Wataje hapa CEOs walioleta mafanikio makubwa kwenye kampuni walizosimamia na CEOs waliozingua

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Nianze mimi

Walioleta mafanikio

CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank

NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu

NALA - Benjamin Fernandes, kakimbilia Kenya akidai mazingira ya biashara yake kwa Tanzania magumu

Mati Super Brands - David Mulokozi, ni ceo wa kampuni yake mwenyewe ipo Manyara, kapata mafanikio makubwa
 
Kuna bwashee mmoja ni CEO ana vijiwe vya supu kama vyote...pia ana magenge huko pembezoni mwa jiji..kwa upande wa daladala ni mamia...nyumba za kupanga ni uswazi tu ndanindani vichochoroni na mwisho kabisa ana Bar kwa mambo yetu yalee...
 
Regnard Mengi. R.I.b
Mzalendo wa wanyonge.
Chakula alichokuwa anawalisha walemavu,yatima,wenye maisha magumu, wazee n.k pale Kwenye zile kumbi bila shaka,Pesa hazikutokana na uhuni mtandao/ufisadi.
 
Regnard Mengi. R.I.b
Mzalendo wa wanyonge.
Chakula alichokuwa anawalisha walemavu,yatima,wenye maisha magumu, wazee n.k pale Kwenye zile kumbi bila shaka,Pesa hazikutokana na uhuni mtandao/ufisadi.
Nani alikwambia? Usiamini vicheko ndugu
 
Barbara Gonzalez, Simba Sports Club
I LOVE THIS BITCH
Alituheshimisha sana.....

1757804614617.png
 
Back
Top Bottom