The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Mhede kaharibu TRA, Kaja kaharibu DART kapandishwa cheo yuko wizarani.
Asumani Kihamia kaharibu huko Arusha kapewa Mwendokasi aimalize kabisa maana waliona Mhede hakuiua kisawasawa.
Mpaka Leo mabasi ya Mbagala hayatoi huduma, yataanza kuoza kabla ya kutoa huduma, hivi CCM tumeikosea nini watu wa Dar? Wabunge wote CCM, madiwani wote CCM, ubadhirifu wa mali ya umma mnafanya nyie.
Kwenye kampeni badala ya kuongea mambo ya maendeleo mnatoa ahadi za kutokamata maiti, kwani aliyezuia maiti ni CHADEMA?