RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Aisee leo umeamua...huyo akiamka tu ananiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee leo umeamua...huyo akiamka tu ananiona
😀 😀 😀 fanya uoe na weweAisee leo umeamua...huyo akiamka tu ananiona
Anakuachaje mtoto kama wewe eti huna mume.😀Sijui anakwama wapi😀😀😀
dahsio manzi mama mtu mzima yule
Huyo panya namtolea wapi? Kwanza nikimuona panya nakimbia.
prondo umefikisha 40??Aisee leo umeamua...huyo akiamka tu ananiona
Njoo nikuoe😀 😀 😀 fanya uoe na wewe
Shangaa sijui macho take yamezibwa😱😱😱😛Anakuachaje mtoto kama wewe eti huna mume.😀
Yeahprondo umefikisha 40??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maulidi kitenge ana wake 2
stay single as long you canTumsubiri mleta mada aje atujibu.
Maana yeye alitaka tu tumpe listi me sijui ana kazi nazo gani, labda yuko kwenye kufanya research
umefikisha 40??Mimi sitokuja kuoa
HahaaaaaUnakimbia panya?
unaishi Dar sehemu gani?
kafikisha 40?? ana watoto??Hermy B
Nakuja mbiooNjoo nikuoe
watoto unao?? samahani lakiniYeah
Duh mkuu andaa interview.watoto unao?? samahani lakini
Jasusi sijamuona humu jukwaani kitambo sana.Mzee wa mbutu. Aka Yericko Nyerere
Master J aliwahi kuoa mke wa ndoa ya kanisani kabisa na wamebarikiwa mabinti wawili warembo. No wonder hawezi oana na Shaa wake mpka leo, labda kaona ndoa chungu sana ama sababu ya logistics za ndoa za kanisaniKwa hiyo huyu ameoa? Mkewe yuko wapi?