Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hiki kipindi cha sasa hivi vifo vya namna hii vimekuwa vingi sana.Sio kwamba nipo hapa kuwalaumu la hasha bali nipo hapa kutaka kujua kulikoni siku hizi wakuu?
Ipo hivi kuna hospital moja huku hadi inaogopwa watu wakiingia kufanyiwa OP kurudi ni majaliwa sasa imewabidi wawe wana safiri kwenda mbali hasa wajazito.
Huu mwezi1 pekee watu4 wamekufa nilio pata taarifa kutoka hospital ile na sio kwamba ina wagonjwa wengi sana la hasha kwa wastani idadi haizidi 120 kwa siku.
Mtu wa kwanza alikuwa anajifungua baada kushindikana kujifungua kwa kawaida ikabidi afanyiwe op bahati mbaya hakuzinduka ikawa imeisha hiyo.
Mama mmoja alikuwa na uvimbe tumboni akafanyiwa op kama kawaida yeye alizinduka vyema ila akawa anahisi baridi kali wakamfunika nguo nzito baadae tena akasema joto kali wakaondoa zile nguo baridi ikarudi tena hadi kupoteza maisha ..huyu hadi sasa tuna msiba mazishi jumamosi
siwezi kuandika wote hawa niliosema wa4 ni mwezi huu 1/2025 achilia mbali mwaka jana ambapo nilipoteza shemeji yangu akiwa anajifungua kwa style zilezile nilizooresha hapo juu.
Wengine wanaagwa vizuri tu ila baada ya siku2-3 hali inabadirika na inaisha hivyo.
Wataalamu wetu nahitaji kujua mbona imekuwa kwa wingi namna hii halafu visa vyote vinakuwa vinaendana kati ya marehemu huyu na yule na wote wanakuwa ni wanawake.
Mwaka jana kuna mwanaume mmoja alifanyiwa op baada ya kuzinduka hakuweza kutembea hadi leo hatembei nalo tusaidieni hospital alikaa miezi3 bila ahuheni yoyote sasa hivi yupo nyumbani.
Inaumiza sana