Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #21
ipo huku kahamaMbona wanasema kujifungua kwa op ni salama zaidi kwa mtoto pia
Halaf hiyo hospital ungeitaja labda kuna uzembe wanafanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo huku kahamaMbona wanasema kujifungua kwa op ni salama zaidi kwa mtoto pia
Halaf hiyo hospital ungeitaja labda kuna uzembe wanafanya
Uzoefu na vifaa. Hapa ndipo US na mataifa mengine ya ulaya yanapo tupita.Kuna changamoto kubwa katika sekta ya afya. Hasa masuala ya upasuaji. Je shida ni elimu? Je shida ni utaalam wa madaktari wa upasuaji? Au ukosefu wa uzoefu wa masuala ya upasuaji? Au shida ni vifaa?
Tatizo ni mtaalamu, hajaiva vizuri kwenye elimu ya vitendo.ipo huku kahama
Ni bora ungeitaja tu mi naitaja mloganzila pale somshauri mtu aende pale ni.lango.la kifo yani kufa pale sekunde na hakuna anaejali kuna mgonjwa alikuwa pale walimtoa damu mpaka akaishiwa damu akafa yani katolewa mara ya kwanza hakaja majibu hawaonimkitu wakatoa tena wakatoa tena mara tatu mgonjwa akafa ni uzembe wa kupitiliza mi.mloganzila hunipeleki heri nifie nyumbani ukienda pale kuna vilio si vya kawaida kuna ndugu yangu pona yake alikimbia na dripu akaenda private wamtoe akawauliza dripu la ugonjwa gani hili cha ajabu alikuwa na homa lakini nurse alishangaa dripu halihusani na homa kabisaa akamwambia yani ungekufa soon.Hiki kipindi cha sasa hivi vifo vya namna hii vimekuwa vingi sana.Sio kwamba nipo hapa kuwalaumu la hasha bali nipo hapa kutaka kujua kulikoni siku hizi wakuu?
Ipo hivi kuna hospital moja huku hadi inaogopwa watu wakiingia kufanyiwa OP kurudi ni majaliwa sasa imewabidi wawe wana safiri kwenda mbali hasa wajazito.
Huu mwezi1 pekee watu4 wamekufa nilio pata taarifa kutoka hospital ile na sio kwamba ina wagonjwa wengi sana la hasha kwa wastani idadi haizidi 120 kwa siku.
Mtu wa kwanza alikuwa anajifungua baada kushindikana kujifungua kwa kawaida ikabidi afanyiwe op bahati mbaya hakuzinduka ikawa imeisha hiyo.
Mama mmoja alikuwa na uvimbe tumboni akafanyiwa op kama kawaida yeye alizinduka vyema ila akawa anahisi baridi kali wakamfunika nguo nzito baadae tena akasema joto kali wakaondoa zile nguo baridi ikarudi tena hadi kupoteza maisha ..huyu hadi sasa tuna msiba mazishi jumamosi
siwezi kuandika wote hawa niliosema wa4 ni mwezi huu 1/2025 achilia mbali mwaka jana ambapo nilipoteza shemeji yangu akiwa anajifungua kwa style zilezile nilizooresha hapo juu.
Wengine wanaagwa vizuri tu ila baada ya siku2-3 hali inabadirika na inaisha hivyo.
Wataalamu wetu nahitaji kujua mbona imekuwa kwa wingi namna hii halafu visa vyote vinakuwa vinaendana kati ya marehemu huyu na yule na wote wanakuwa ni wanawake.
Mwaka jana kuna mwanaume mmoja alifanyiwa op baada ya kuzinduka hakuweza kutembea hadi leo hatembei nalo tusaidieni hospital alikaa miezi3 bila ahuheni yoyote sasa hivi yupo nyumbani.
Inaumiza sana
kahama sehemu gani mkuuipo huku kahama
Kuna moja mkoa wa Tanga milimani ina sifa hizi, tena kubwa ya serikali. Ukiandikiwa Upasuaji andika wosia.Mkuu usiombe yani mnategemea kupata mtoto ghafla kinageuka kilio
Mimi mwenyewe nishafanyiwa OP, ila hiyo ya kutokuamka inasikitisha. Au una maanisha nini teena?Omba yasikukute mkuu
Mbona wanasema kujifungua kwa op ni salama zaidi kwa mtoto pia
Halaf hiyo hospital ungeitaja labda kuna uzembe wanafanya
Kwenye OP kuna mambo mengi , ndo maana kabla ya op kuna basic investigation kufanyika , kutokana na aina ya op,Hiki kipindi cha sasa hivi vifo vya namna hii vimekuwa vingi sana.Sio kwamba nipo hapa kuwalaumu la hasha bali nipo hapa kutaka kujua kulikoni siku hizi wakuu?
Ipo hivi kuna hospital moja huku hadi inaogopwa watu wakiingia kufanyiwa OP kurudi ni majaliwa sasa imewabidi wawe wana safiri kwenda mbali hasa wajazito.
Huu mwezi1 pekee watu4 wamekufa nilio pata taarifa kutoka hospital ile na sio kwamba ina wagonjwa wengi sana la hasha kwa wastani idadi haizidi 120 kwa siku.
Mtu wa kwanza alikuwa anajifungua baada kushindikana kujifungua kwa kawaida ikabidi afanyiwe op bahati mbaya hakuzinduka ikawa imeisha hiyo.
Mama mmoja alikuwa na uvimbe tumboni akafanyiwa op kama kawaida yeye alizinduka vyema ila akawa anahisi baridi kali wakamfunika nguo nzito baadae tena akasema joto kali wakaondoa zile nguo baridi ikarudi tena hadi kupoteza maisha ..huyu hadi sasa tuna msiba mazishi jumamosi
siwezi kuandika wote hawa niliosema wa4 ni mwezi huu 1/2025 achilia mbali mwaka jana ambapo nilipoteza shemeji yangu akiwa anajifungua kwa style zilezile nilizooresha hapo juu.
Wengine wanaagwa vizuri tu ila baada ya siku2-3 hali inabadirika na inaisha hivyo.
Wataalamu wetu nahitaji kujua mbona imekuwa kwa wingi namna hii halafu visa vyote vinakuwa vinaendana kati ya marehemu huyu na yule na wote wanakuwa ni wanawake.
Mwaka jana kuna mwanaume mmoja alifanyiwa op baada ya kuzinduka hakuweza kutembea hadi leo hatembei nalo tusaidieni hospital alikaa miezi3 bila ahuheni yoyote sasa hivi yupo nyumbani.
Inaumiza sana
jibu litakuwa hili mambo ya wodini ni siri ya mgonjwa na jopo la madaktari ndio baasiTunahitaji watatujibu huwa ni bahati mbaya ama kuna kitu kinazidishwa?
Kama mleta huu uzi hajaitaja hiyo hospitali SASA TAARIFA ZILETWE BASED ON WHAT?Ningependa tupate majibu kutoka kwao watalaamu wetu
Hiki kipindi cha sasa hivi vifo vya namna hii vimekuwa vingi sana.Sio kwamba nipo hapa kuwalaumu la hasha bali nipo hapa kutaka kujua kulikoni siku hizi wakuu?