Watalaamu wa Afya hivi inakuaje mtu anapofanyiwa upasuaji asizinduke anapitiliza kufa?

Watalaamu wa Afya hivi inakuaje mtu anapofanyiwa upasuaji asizinduke anapitiliza kufa?

Takwimu nyingi haziko sawa.

Mfano, Mtoa maada kaleta watu walio kufa peke ake kua anawajua 4, Lakini walio toka wazima hawapo.

Pia ukisema sikuiz, Nazani hata rate ya kufanya upasuaji imeongezeka kuliko hapo nyuma hivo kuongeza no. ya wanao kufa na kuishi.

Mwisho, Ni kweli bado sector ya Afya, Kuna kigugumizi kwenye General Anestezia(Nusu kaputi), Mwaka 2013 tulimpoteza mwalimu wetu alienda kufanya upasuaji wa Tumbo kutoa minyama nyama

Aliingia mzima, Akatoka Maiti.

Niwakati sasa wizara kuwekeza nguvu kwenye hiki kitengo.
Mkuu inawezekana wa nusu kaputi akawa vizuri, akazingua wa upasuaji. Nilikwenda kumuona jamaa aliyefanyiwa upasuaji hositali kubwa tu Dar. Daktari akapita asubuhi kuona wagonjwa wake wa upasuaji akiwa na wanafunzi wake wawili. Aliwauliza maswali takribani sita hawakuambulia hata moja, akaishia kuwaelezea mwenyewe. Aibu na woga niliona mimi...
 
Unatakiwa uelewe kwanza mtu mpaka anaenda kufanyiwa surgery au upasuaji hiyo tayari ni complication....huku tunakitu kinaitwa management of the patient ambazo zipo options tatu kuu
1: non pharmacological management/ treatment
2: pharmacological treatment
3: surgery
Na surgery yenyewe inategemea sana na mgonjwa yupo kweny hali gani mfano mimi kunakijiji flani.... wanakijiji wa hapo wanatabia ya kwenda kwa waganga kwanza yakishawashinda ndio wanakimbilia hospitali matokeo yake wakifa wanaanza kupiga kelele oooh hospitali ile ukienda unakufa so surgery au upasuaji ni option ya mwisho kabisa baada ya option mbili za juu nlizotaja kushindikana lakini pia inategemea na ugonjwa sio kila tatizo likishindikana basi mtu anafanyiwa upasuaji. Kwa hyo nataka kusema kuwa asilimia kubwa ya watu wa mikoani huenda hospitali muda ambao hali imeshakuwa mbaya sana matokeo yake wanawapa madaktari changamoto na kutokufanikiwa katika tiba iliyokusudiwa iwe surgery au kwa njia ya dawa
 
Back
Top Bottom