Watalaamu wa Afya hivi inakuaje mtu anapofanyiwa upasuaji asizinduke anapitiliza kufa?

Maswali haya yamekaa kitaalamu zaidi na mimi sitaweza. Swala la kujua hali ya wagonjwa kabla ya upasuaji ni ngumu kwanza sitaruhusiwa hata kuangalia vifaa pia sitaruhusiwa mi raia tu wa kawaida
 

Pale hata ukijifanya una kikohozi kikali ukatest mitambo aisee utaibuliwa ugonjwa wa ajabu hadi ulazwe na ukilazwa hutoboi!

Wanafunzi wamejazwa pale ndo wanaoharibu title ya mloganzila ionekane Israel.
 
Sema kifo cha usingizini ni kizuri kweli, yani unachomwa sindano ya ganzi ukishalala inakua ni moja kwa moja wewe unastarehe usingizini tu ๐Ÿ˜Š
Eti Demi si unajua raha ya usingzi?
 
Asante Mungu nilitoka salama,, ila kale ka msalaba ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Takwimu nyingi haziko sawa.

Mfano, Mtoa maada kaleta watu walio kufa peke ake kua anawajua 4, Lakini walio toka wazima hawapo.

Pia ukisema sikuiz, Nazani hata rate ya kufanya upasuaji imeongezeka kuliko hapo nyuma hivo kuongeza no. ya wanao kufa na kuishi.

Mwisho, Ni kweli bado sector ya Afya, Kuna kigugumizi kwenye General Anestezia(Nusu kaputi), Mwaka 2013 tulimpoteza mwalimu wetu alienda kufanya upasuaji wa Tumbo kutoa minyama nyama

Aliingia mzima, Akatoka Maiti.

Niwakati sasa wizara kuwekeza nguvu kwenye hiki kitengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ