The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Au wana-overdose mkuu?
Inatakuwa ufanyike uchunguzi wa kina kuanzia wataalamu mpaka vifaa na dawa wanazotumia!!
Ndugu zetu wanapotea kizembe sana.
DR Mambo Jambo tusaidie hapa!!Ukute hata midawa yenyewe fake fake tu.
Ngoja madaktari waje waseme wanakwama wapi
Comment #42DR Mambo Jambo tusaidie hapa!!
Mkuu inawezekana wa nusu kaputi akawa vizuri, akazingua wa upasuaji. Nilikwenda kumuona jamaa aliyefanyiwa upasuaji hositali kubwa tu Dar. Daktari akapita asubuhi kuona wagonjwa wake wa upasuaji akiwa na wanafunzi wake wawili. Aliwauliza maswali takribani sita hawakuambulia hata moja, akaishia kuwaelezea mwenyewe. Aibu na woga niliona mimi...Takwimu nyingi haziko sawa.
Mfano, Mtoa maada kaleta watu walio kufa peke ake kua anawajua 4, Lakini walio toka wazima hawapo.
Pia ukisema sikuiz, Nazani hata rate ya kufanya upasuaji imeongezeka kuliko hapo nyuma hivo kuongeza no. ya wanao kufa na kuishi.
Mwisho, Ni kweli bado sector ya Afya, Kuna kigugumizi kwenye General Anestezia(Nusu kaputi), Mwaka 2013 tulimpoteza mwalimu wetu alienda kufanya upasuaji wa Tumbo kutoa minyama nyama
Aliingia mzima, Akatoka Maiti.
Niwakati sasa wizara kuwekeza nguvu kwenye hiki kitengo.