Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

sio Kwa ubaya ila viongozi wetu wengi ni vichwa nazi.

hawa idara ya usalama hawa kupaswa kukaa kimya, eti Wana mwachia kiranja mkuu aji amulie anavyo taka.

Inge pendeza wange kamata au kuwa lazimishwa waji uzuru wafanya maamuzi mabovu.

Sema usalama yenyewe ni Kama mlevi, full kusukumwa tu.
Kuna ule Uzi unoonyesha Tanzania tunaelekea kule ilipo congo aliyoiasisi mobutu
 
Hayawezi kuwa na mwisho iwapo wahusika wakuu (wanafunzi wa vyuo vikuu) wapo kimya.

Enzi zetu yangeshafanyika maandamano makubwa sana ya wanafunzi wote wa elimu ya juu.Fikiria wakati huo vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu zilikuwa chache sana.

Leo vyuo vikuu vipo bwerere wamekaa kimya wanangoja malaika wa kuwasemea.
Hawa madogo wajinga sana wako busy na kuangalia Elpasan sijui nini, Yan wanaufwala mwingi sana
 
Tanganyika tuna vya kujiingizia kipato lukuki, nafasi za kazi 300 kwenda kwa wananchi wenzetu mnaanzisha zengwe, kweli?
Amuwaonei huruma wenzetu wapo kisiwani?
 
Hayawezi kuwa na mwisho iwapo wahusika wakuu (wanafunzi wa vyuo vikuu) wapo kimya.

Enzi zetu yangeshafanyika maandamano makubwa sana ya wanafunzi wote wa elimu ya juu.Fikiria wakati huo vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu zilikuwa chache sana.

Leo vyuo vikuu vipo bwerere wamekaa kimya wanangoja malaika wa kuwasemea.
Yani tuache kula raha na maboom yetu twende tukaweke rehani uhai wetu kwa kuandamana
 
Heshima sana wanajamvi.

TRA wametangaza ajira mpya 1,574.

Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao.

Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa nafasi 331 huku WATANGANYIKA MACHOGO wakitengewa 1243 tu.

Idadi ya watu TANGANYIKA ni zaidi ya 64 Million idadi ya watu ZANZIBAR ni 836,000.
Hizi hesabu nimejaribu kuzipiga,kugawanya,kuzidisha nimetoka kapa.

Huu upuuzi uliletwa na Mchengerwa katika bunge hili linalomaliza muda wake WABUNGE wetu hawakuhoji,hawakudadisi,hawakuuliza waligonga meza kama kawaida yao.

Wakati LISSU akishangaa idadi ya wabunge wa ZANZIBAR kuchanguliwa na wastani wa watu 11,000 tu wakati wabunge wa TANGANYIKA wanachaguliwa na idadi ya watu 300,000 na kuendelea angejiuliza na kudadi inakuwaje WAZANZIBAR wanatengewa nafasi 331 katika taasisi moja tu.Siku BOT wakitangaza ajira utaratibu ni huo huo.

Lissu badala ya kutazama nafasi za kisiasa pekee yake angetazama pia suala zima la ajira katika hii JMT.
Kule kwao wameajiriwa watanganyika wangapi
 
Back
Top Bottom