Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

Tanganyika tulieni sindano iwaingie
 
Mimi sikuwa najua kuwa kuna ratio yakugawa ajira kati ya Tanzania bara na Zanzibar mimi nilikua nafikiri watu wanagombania tu mwenye kupata apate mwinyo kukosa akose bila kuzingatia huyo anatoka katika Tanga Arusha, Pemba su Zanzibar.
 
Let’s do simple math ratio

Idadi ya Watanzania wote 64 Mil

Tanzania Bara 62 mil
Zanzibar 2 mil

Ratio: Zanzibar/Tanzania x 100% = 2/64 *100%

= 1/32 *100% = 3.125%

Ratio ya Zanzibar kama unataka iwe accurate is 3.125%
 
Mimi sikuwa najua kuwa kuna ratio yakugawa ajira kati ya Tanzania bara na Zanzibar mimi nilikua nafikiri watu wanagombania tu mwenye kupata apate mwinyo kukosa akose bila kuzingatia huyo anatoka katika Tanga Arusha, Pemba su Zanzibar.
Huu upuuzi huwezi kusikia MwanaCCM akitamka hadharani.

Wanajua si jambo lenye afya,watanyamaza kimya Watanganyika waendelee kushangilia kununua magoli.
 
Nchi hii ina watu wanajifanya wanajua ila hawajui chochote mkuu. Sasa wajiulize kabla ya kuja TRA alikuwa wapi? Halafu watumie Pai mara kipenyo kutafuta majibu.
Acha kukimbilia issue ndogo ndogo.Tuambie Zanzibar kutengewa 21% ni sawa au si sawa.
 
Mkoa wa Dar-es-Salaam una idadi ya watu 8.3 million.

Mkoa wa Tanga una idadi ya watu 2.4 Million.

Hii ni mikoa 2 tu ambayo itatakiwa kupigania nafasi za ajira 1,243.

Uku Zanziba ikijinafasi nafasi 331 pekee yake.
Kwani Zanzibar ni mkoa ? Pole sana
 
Ajira pia mnastahili 4%
 
endeleeni kulalamika ty kwenye keybord
 
Na nyie raia? Au ni Ma keybord worrior?
 
Acheni nongwa... Hakuna Nchi Inayoitwa Tanganyika... Wote Ni Wamoja.... Tanganyika iliyobaki ni ile TANGANYIKA PACKERS ya Mwamposa pekee...
 
Rejesha akili kidogo.

ZANZIBAR wana Zanzibar Revenue Authority yao ambayo MTANGANYIKA hatii pua.
Nadhani kwa idadi hiyo, wahasibu wote wenye kuomba ajira huko Zanzibar watakuwa wamepata ajira na hakutakuwa mzururaji kwenye kada hiyo.
 
Na bado!
Ikifika 2030 mtakimbilia Burundi!
 
Nchi ndogo inatawala Nchi kubwa, kama Rwanda kuitawala DRC. Au Israel kutawala Mataifa ya Kiarabu.
 
Acheni nongwa... Hakuna Nchi Inayoitwa Tanganyika... Wote Ni Wamoja.... Tanganyika iliyobaki ni ile TANGANYIKA PACKERS ya Mwamposa pekee...
Umesoma sheria ya utumishi wa umma namba 8 ndio utajua wewe ni Mtanganyika (Tanzania Bara) ambaye hajui chochote cha maana kuhusu nchi yake lakini anajua idadi ya Ng'ombe alizotoa Azizi Ki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…